Infact, hao ECMA, ni Kampuni iliyo chini ya Push Mobile, wale wale jamaa zetu wa siku nyingi, Pfunk is just this person ambaye wamehisi wakimwka as CEO ita appel vyema kwa wasanii na kwa jamii.
Ni kwamba Push mobile wana mitambo ambayo ina track redio, TV nchi nzima,Mitambo hii ndo ambayo imekuwa ikitumika na Advertsing agency pamoja na clients wao, kufuatilia namna ambavyo redio na TV zinapiga matangazo yao kwa akdri walivyokubaliana na walivyolipia.
Sasa baada ya hii ishu ya Mirahaba kuanza kunukia jamaa ndo wakaona fursa, wakijiongeza, na Kwa sababu Push as Push jina lao lina demage kidogo hasa kwa upande huo wa wasanii kutokana na figisu figisu zilizoibukaga kipindi cha mgogoro wa Ringtonse & Callertons ndo maana ikabidi ka entity kengine katakako simamia hii issue kazaliwa ndo hako ka ECMA, Nani ana uelewa, uzoefu, exposure na credibility ya kuappear kwa wadau wa bongo. Ni the man himself mwenye Bongo fleva yake Pfunk Majan. ndo wakamvuta na kumpa dili.