Malipo ya kusitisha ajira

Malipo ya kusitisha ajira

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Habari wanajukwaa.
Kulingana na kichwa cha post yangu Hapo juu Naomba kufahamu; baada ya mfanyakazi kuandika notisi ya siku28 kwa bosi wake ya kusitisha ajira. Je! Anaweza kulipwa mshahara wa huo mwezi anaotumikia notisi? Je! Overtime zake atalipwa? Na Je! Kiinua mgongo atalipwa?

Kwa wanaojua hili tusaidiane.

Shukran.
 
Atalipwa, ila kiinua mgongo si mpaka 60, au nimekosea
 
Mimi sijawahi kuacha kazi kwa notisi na bahati nzuri sijawahi kushitakiwa na kampuni yoyote.
 
Hayo malipo ya kuacha kazi yanategemea mkataba wako wa kazi unasemaje. Kwa UPANDE wa SERIKALI Sheria iko wazi. Je umetoa notisi ya Miez Mitatu na zaid utailipia One third ya Salary yako, below miez mitatu two third ya salary, below mwez mmoja utalipa mshahara wako wa Mwezi mzima. So kiufupi Notisi yoyote lazima uilipie ndipo mwajiri akupe barua ya kujiuzulu kwako kazi. Otherwise kama notisi yako haijaambatana na Risiti ya Malipo ya serikali kwa formula tajwa hapo juu its like umetoroka kazini ama umeondoka bila kutimiza masharti. Over
 
na endapo utakuwa na yale madeni ya mikopo kutoka mabenki?!
 
Hahahaha......kumbe tunaojiandaa kutupa kalai tupo wengi!
 
Endapo utakua na Madeni unayodaiwa na Benki ama taasisi yoyote ya Kifedha. Pia inategemea MU/Memorundum of Understanding wa Taasisi iliyokukopesha inasemaje. Mostly suala la Mtumishi kuacha kazi ama kufukuzwa nk MIKOPO MINGI IMEKATIWA BIMA NA BENKI HUSIKA, na hiyo bima uliilipia pindi unakopa hua inawekwa kwenye gharama zinazoitwa Loan Processing Fee. So endapo ajira yako ITASITA kwa sababu zozote Benki italipwa na Bima deni la Mkopo wako. Ngoja wataalam wa Benki waje waongezee. Over
 
watu wanasubiria mwez wa pili mshahara uongozeke au waaamshe
 
Endapo utakua na Madeni unayodaiwa na Benki ama taasisi yoyote ya Kifedha. Pia inategemea MU/Memorundum of Understanding wa Taasisi iliyokukopesha inasemaje. Mostly suala la Mtumishi kuacha kazi ama kufukuzwa nk MIKOPO MINGI IMEKATIWA BIMA NA BENKI HUSIKA, na hiyo bima uliilipia pindi unakopa hua inawekwa kwenye gharama zinazoitwa Loan Processing Fee. So endapo ajira yako ITASITA kwa sababu zozote Benki italipwa na Bima deni la Mkopo wako. Ngoja wataalam wa Benki waje waongezee. Over
Sawa. Swali kuu Hapo Je! Wakati unatumikia Notisi uliyoandika ya kusitisha ajira; mshahara, overtime, na kiinua mgongo utalipwa?
 
tehteh...watu wamegoma kuisoma wameona kheri kurudi uraiani kujipanga upya..karibuni wengine tulishatangulia,ila ajira zetu zilikua za kikoloni...tulipotishia kujiondoa tuliitiwa wanausalama kwanza..eti pengine tuchunguzwe kwanza ..doh
 
Habari wanajukwaa.
Kulingana na kichwa cha post yangu Hapo juu Naomba kufahamu; baada ya mfanyakazi kuandika notisi ya siku28 kwa bosi wake ya kusitisha ajira. Je! Anaweza kulipwa mshahara wa huo mwezi anaotumikia notisi? Je! Overtime zake atalipwa? Na Je! Kiinua mgongo atalipwa?

Kwa wanaojua hili tusaidiane.

Shukran.
Naomba anaejua aniambie jibu ndugu zangu
 
Back
Top Bottom