Malipo ya dhuluma: Benjamin Sitta uliingia kimafia utang'olewa kimafia

Watakaokumbwa ni wengi akiwemo muasisi wa mauaji ya Akwilina , DED wa Kinondoni
 
mambosasa alikiri kwamba risasi ilikunja kona na waliouwa ni police . chakushangaza wanapelekwa mahakamani kina mdee.
afu jitu linaongea kama fyatu oh sijui kusamehe sijui ujinga gani
video za mambosasa za kukiri polisi kuuwa zipo na zitawasilishwa mahakamani kama kielelezo , hasa baada ya Mahakama kuruhusu ushahidi wa video , Mambosasa binafsi atahojiwa na Kibatala , hii kesi imefika patamu mno !
 
Historian unakumbuka vyema. Huyu eya alipita sababu ya Makonda kulipa fadhila kwa ukooo wa sitta. Kumbuka mzee sitta amemlea bashiboy Kama mwanae ikiwemo kumlipia ada za chuo Cha ushirika Moshi mpaka kumuingiza serikalini kwa wale wanaovaa kaunda suti
 
kura zilihesabiwa wiki hahaha thithiem wajinga sana
namshangaa sanavhuyo
Historian unakumbuka vyema. Huyu eya alipita sababu ya Makonda kulipa fadhila kwa ukooo wa sitta. Kumbuka mzee sitta amemlea bashiboy Kama mwanae ikiwemo kumlipia ada za chuo Cha ushirika Moshi mpaka kumuingiza serikalini kwa wale wanaovaa kaunda suti
au ndio maana wameshirikiana kupiga bil 14 za coco beach ?
 
Wamepangana kwiba tu. Mpaka inatia aibu. Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Ujanja ujanja na wizi tu

Kwanza hatuna budi kujua uhusiano wa huyo Benjamin Sitta na Makonda. Makonda ni mtoto wa kulelewa na marehemu Samuel Sitta hivyo hawa wawili wana uhusiano wa karibu. Makonda dili zake zote kwenye hii miradi amekuwa akifanya na huyu Sitta huko Kinondoni; hata hili na Coco Beach kama mtakumbuka Makonda juzi juzi alikuwa mkali akifoka kuwa viongozi wa Kinondoni walikuwa wanachelewesha kutekeleza mradi ili hali pesa ilikuwepo!

Hazikupita siku nyingi ile tenda ikatayalishwa na mkandarasi akapatikana yule ambae JPM alizungumzia habari zake na wawili hao wakachukua mshiko wao kwa yule mhindi and the rest is history!!! Makonda anatumia vibaya ukaribu wake na JPM na hivyo kumuharibia SIFA!!!!
 
nataka nikuhakikishie jambo moja , uchaguzi wa 2020 utakuwa ni mgumu mno kuliko hata 2015 , hili uliweke kichwani mwako
Ndugu binafsi nadhani uchaguzi utakuwepo 2025 lakini wa mwaka 2020 ni kupitisha tu wala hauna mshikemshike sana maana "Mvinyo ni Ulele itabadilishwa Chupa tuuu"
 
Back
Top Bottom