Malipo ya dhuluma: Benjamin Sitta uliingia kimafia utang'olewa kimafia

Makonda ni mla rushwa nambali moja anaemuhadaa JPM; lakini kwa jinsi anvyounajisi utawala huu utafika wakati lazima wamchukulie hatua!! Kama JPM alimchukulia hatua mkuu wa mkoa wa Morogoro Kebe , anashindwaje kumchukulia hatua huyu wa Dar? Hiki ni kitendawili kigumu!
Bashite ni Msukuma isitoshe ni msiri wake mtukufu hususani kwenye kamati za ufundi, pia kwenye ununuzi wa Ndege ujue Bashite ndiye Dalali, kwenye miladi yote mikubwa ana kampuni zake zinasuply vifaa na pia hula 10% kote ikiwemo tenda mbalimbali, kumbuka kwenye kutaja list aliwachukulia magari pesa mali zao baadhi ya watu aliowataja kwenye List zake makusudi kwa nia ya blackmail hata kupotea kutekwa kwa MO waliwabambikia matajiri kibao wa kiaraabu na kihindi tuhuma wakawakamua pesa ndefu, Huyo Dogo ana ukwasi mkubwa mpaka hajui atazifanyia nini pesa alizojilimbikizia binafsi.
 
Aiseeee !!
 
Back
Top Bottom