M.Kwidohya
Member
- Feb 18, 2013
- 61
- 7
habari wadau wote wa jf duku duku langu ni juu ya baadhi ya tozo za serikali kulipwa kwa pesa za kigeni nini tafsida ya mwenendo huu je pesa yetu ni ya madafu kweli au ndio kuwapa kipa umbele wa nyonyaji aka wawekezaji
ukikaa na kutumia jicho la tatu utaona kuna kaujanja katumikapo nyonya raia wa Tanzania kwa sababu asilimia kubwa ya kiwango cha dola upanda na kushuka kitu kama icho ni upotoshaji na ujengwaji wa mazingira ya rushwa kwa hari hii mlipa huduma ua na sinto fahamu na kutokujua kiwango harisi cha kulipa kodi ebu viongozi wetu tukaeni chini na tukumbuke Tanzania tulishatoka kwenye ukoloni since 1961 sasa kwanini bado kuna maendeleo ya kutumika kwa pesa ya kikoloni kwenye baadhi ya huduma zetu?