Malipo duniani, kwa Mungu mahesabu tu!

Malipo duniani, kwa Mungu mahesabu tu!

byongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
827
Reaction score
1,948
Habari zenu wana MMU

nataka ku-share nanyi hii story kwenu ili iwe fundisho,..

Mahali nilipo kuna kaka huwa anapenda kuja maana kuna watu ana mazoea nao na hadi wengine kutaniana, juzi kati alikuja akawa anawakumbushia mchango wa harusi yake (december),, sasa dada mmoja akamwambia hadi wewe umeamua kutulia na kuoa, kweli kila kitu kinawezekana

yule dada akaniambia huyo kaka ni kicheche ana wanawake mkoa mzima,,(ananambia maneno hayo huyo kaka akiwepo), yule kaka akawa ancheka anasema ooh uzinzi nmeacha sa hvi nmemrudia Mungu...
yule dada akanambia huyu kaka alikua anajifanya muislamu kama anamtaka dada wa kiislamu,, atakubali hadi kubadili dini ili mradi akupate..me nkamuuliza kwa nn ulikua unafanya hivo? akanambia " demu alikua mzuri nywele mpaka kiunoni, ilikua hamna namna lazma nijifanye nmekubali kubadili dini" akantajia hadi jina lake analoitwaga akiwa muislamu...

sasa bhanaaa,,jana huyu dada ambae nipo nae namuona anasoma kitu kwny simu akacheka sana, akatuambia ngoja niwape ubuyu wa "W"... akasema ndoa ya W imekufa hamna tena ndoa..tukamuuliza kwa nn? akasema msichana alievalishwa pete kumbe ameshavalishwa pete na mtu mwingine na kila mtu anasema mimba alonayo msichana ni yake( yaan W anasema mimba yake na huyo mwanaume mwiwngne anasema mimba pia yake)...

ina maana mdada alikua anagonganisha wanaume wawili kwa wakati mmoja mpaka amebeba mimba..sasa huyu kaka amechanganyikiwa na harusi ilibidi iwe december,, alikua anahangaika tafuta mahali pa kuhamia akioa mipango yote imekufa na michango ya watu anayo.

huyo bi harus na huyu W wapo mikoa tofauti,, kama dodoma na tanga,,huyo kaka huku alikua anakitembeza balaa,yaan alikua mzee wa totoz..sifa yake kubwa ilikua umalaya.

Somo la kujifunza
hapa duniani kila unalolifanya malipo ni hapa hapa, usimtendee mwenzio usilopenda kufanyiwa,,,mapenzi yana maumivu makali sana...kama humpendi mtu kua clear and dont take people for granted.. duniani tuna ishi mara moja, usipoteze muda adhwimu mwenzio aliopewa na Mungu wa kuishi we ukamtumiaaa na kumuacha hapo..

MATENDO YA WAKE ZENI NI MATOKEO YA MATENDO YENU.

Binafsi nimefurahi W livyokutwa na haya maswahibu,,maumivu yake yakianza kupoa akae chini ajitathmini alimkosea nani na alimkosea nini..

Nashkuru kwa kuchukua mda wako kusoma ujumbe huu.
 
Mwanamme kua na wanawake wengi hamharibi sifa sanaaa so long as ana pesa ,kazi ,namaisha yakujitegemea.

Ila wewe mwanamke hangaika na wanaume weeee uone kama hautakua Spinster !!!.

Siunamuona km diamond, nimuhuni ,,,ila amini nakuambia diamond anaweza kabisa kuacha mademu wote,, akatulia ,, naakatangaza sasa anataka kuoa nabado wanawake wakampenda najamii ikamuamini.

Ila mwanamke weee tembea nawanaumeeeee alafu naww useme umeacha wanaume ,sasa unataka Mwanamme ..hahahaha obviously huwezi mcheka Ray C ,johar ,Sinta N.k.

Hapo alopoteza NIMWANAMKE maana sasa kila Mwanamme amejua alimsaliti ,, nakwakua kila mtu alikua anataka kumuoa ,,,,Amini amini nakuambia ,,huyo mwanamke hatoaminiwa na Mwanamme yoyote kati yao ...sanasana mwanamke ametengeneza mazingira ya KUA PUNDA MBEBA MIZIGO ,MWANAMKE ASIYE NASAUTI NDANI ,MWANAMKE AMBAYE ATAKUA SAWA NAZULIA.
 
Huu uzi umekaa kimbea sana, na jinsi ulivyosimuliwa ni kiumbea pia. Ungeweza kuwasilisha vizuri zaidi ya hapa.
 
I LOVED THOSE LINES ...
 
U

umenena vyema sana mkuu i salute you
 
U

umenena vyema sana mkuu i salute you
[emoji120] [emoji120] datz all mkuub,,izi mambo nazishuhudia sana ,lkn Mara zote mwanamke ndo amekua mpotezaji !!

Nani ?? Mwanamme yupi ,Atamwamini mwanamke ambaye amemsaliti nambaya zaidi huna uhakika na mtoto wako ???? Nani???? Nani ???.... Hayupo mkuu.

Binafsi naona uyo Dada hata akiolewa na M au N ..hamna mahali atapata uhafadhali ..alafu kila kakitokea kaugonv ,, Hasira zitapelekwa kwa mtoto ,utasikia *** Malaya wewe ,mtoto mwenyewe usikute sio Wangu ** .
 
Huu uzi umekaa kimbea sana, na jinsi ulivyosimuliwa ni kiumbea pia. Ungeweza kuwasilisha vizuri zaidi ya hapa.
Hayo ni maoni yako..
Haimaanishi ndio lazima iwe kweli kwamba ni wa kimbea.
 
Habari zenu wana MMU

nataka ku-share nanyi hii story kwenu ili iwe fundisho,..

Mahali nilipo kuna kaka huwa anapenda kuja maana kuna watu ana mazoea nao na hadi wengine kutaniana, juzi kati alikuja akawa anawakumbushia mchango wa harusi yake (december),, sasa dada mmoja akamwambia hadi wewe umeamua kutulia na kuoa, kweli kila kitu kinawezekana

yule dada akaniambia huyo kaka ni kicheche ana wanawake mkoa mzima,,(ananambia maneno hayo huyo kaka akiwepo), yule kaka akawa ancheka anasema ooh uzinzi nmeacha sa hvi nmemrudia Mungu...
yule dada akanambia huyu kaka alikua anajifanya muislamu kama anamtaka dada wa kiislamu,, atakubali hadi kubadili dini ili mradi akupate..me nkamuuliza kwa nn ulikua unafanya hivo? akanambia " demu alikua mzuri nywele mpaka kiunoni, ilikua hamna namna lazma nijifanye nmekubali kubadili dini" akantajia hadi jina lake analoitwaga akiwa muislamu...

sasa bhanaaa,,jana huyu dada ambae nipo nae namuona anasoma kitu kwny simu akacheka sana, akatuambia ngoja niwape ubuyu wa "W"... akasema ndoa ya W imekufa hamna tena ndoa..tukamuuliza kwa nn? akasema msichana alievalishwa pete kumbe ameshavalishwa pete na mtu mwingine na kila mtu anasema mimba alonayo msichana ni yake( yaan W anasema mimba yake na huyo mwanaume mwiwngne anasema mimba pia yake)...

ina maana mdada alikua anagonganisha wanaume wawili kwa wakati mmoja mpaka amebeba mimba..sasa huyu kaka amechanganyikiwa na harusi ilibidi iwe december,, alikua anahangaika tafuta mahali pa kuhamia akioa mipango yote imekufa na michango ya watu anayo.

huyo bi harus na huyu W wapo mikoa tofauti,, kama dodoma na tanga,,huyo kaka huku alikua anakitembeza balaa,yaan alikua mzee wa totoz..sifa yake kubwa ilikua umalaya.

Somo la kujifunza
hapa duniani kila unalolifanya malipo ni hapa hapa, usimtendee mwenzio usilopenda kufanyiwa,,,mapenzi yana maumivu makali sana...kama humpendi mtu kua clear and dont take people for granted.. duniani tuna ishi mara moja, usipoteze muda adhwimu mwenzio aliopewa na Mungu wa kuishi we ukamtumiaaa na kumuacha hapo..

MATENDO YA WAKE ZENI NI MATOKEO YA MATENDO YENU.

Binafsi nimefurahi W livyokutwa na haya maswahibu,,maumivu yake yakianza kupoa akae chini ajitathmini alimkosea nani na alimkosea nini..

Nashkuru kwa kuchukua mda wako kusoma ujumbe huu.
Sawa
 
huu msemo naukubali sana
 
Back
Top Bottom