Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,711
- 1,738
Heshima kwako mkuu. Jana kupitia RFA nilikusikia (japo kwa kifupi) ukiwaelekeza vijana huko Mwanza kuthamini elimu, ni jambo zuri lakini nilifadhaika ulipotoa mfano kwa mchezaji wa Man City (Vicent Kompany) kielimu.
Nadhani hata wewe ulishangaa ulipowauliza kama wanamfahamu mchezaji huyo jinsi walivoitikia kana kwamba ungewazawadia. Ushauri wangu kwako ni kujaribu kuwalisha vijana wetu vitu vyetu wenyewe kwani tunavo. Mie nikiwa mdogo niliona fahari kuwaiga akina Sunday Manara, Abdala Kibadeni na kadhalika.
Na kama usomi tuna akina Leodgard Tenga, Lawrence Mwalusako na kadhalika ambao vijana wetu tunapashwa kuwaeleza.
Maoni yangu tu.