Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Bwana Malinzi naomba umsihi Kampombe aende Ufaransa aachane kabisa na SIMBA na Yanga. Huyu ndo atafungua milango ya wengine ili tutoke tulipo kisoka
Yako maneno nilimwambia Kapombe point blank na mlezi wake aliyasikia (nisingependa kumtaja hapa). Yalikuwani maneno makali lakini kwa hali ilivyokuwa ilibidi nimtamkie,matumaini yangu ni kwamba alinielewa.Tuvute subira.