aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,650
- 3,662
Unachukua hela za ofisini TFF dola laki moja unampa mshikaji wako anaenda kutengeneza jezi za Taifa starz malayasia.
Kisha hizo jezi unakuja wauzia tena TFF kwa hela ya mdhamini kilimanjaro kweli?
Tenda TFF hutangazi.
Ukibisha kule twitter nakuja na nondo,zote maana huyo uliyempa tenda ndio anajitapa huku mtaani na sauti ya kumrecord ninayo.
Hebu ondoka utuachie mpira watu