Malinzi na ZFA

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,782
3,190
kuna nini kati hawa jamaa naona wanatifuana sana hadi kamati ya ZFA wamefika stage wanataka wampeleke mahakamani
 
Hapa ndo tutamkumbuka Tenga..na ndo maana Tenga alipiga vita sana Malinzi asiingie TFF....daaa tulipiga hatua 5 mbele kipindi cha Tenga sasa Malinzi katurudisha 7 nyuma na bado....
 
Back
Top Bottom