ligi ilharibiwa toka mwanzoni ratiba ilikuwa imetoa mwanya wa kupanga matokeo hawezi kufanya chochote
wanaohusika na upangaji wa ratibaNani aliiharibu?
wanaohusika na upangaji wa ratiba
ligi ilharibiwa toka mwanzoni ratiba ilikuwa imetoa mwanya wa kupanga matokeo hawezi kufanya chochote
Na yanga ndo wakaiharibu kabisaaa kwa kutwaa ubingwa mapema, siku nyingine wapewe adhabu, kwanini wawahi wahi kuchukua ubingwa kabla ligi haijaisha!!!
cc Makoye Matale, nifah, Mkoraj, Bantu lady
Hivi ni club gani zimeshuka daraja?
Na yanga ndo wakaiharibu kabisaaa kwa kutwaa ubingwa mapema, siku nyingine wapewe adhabu, kwanini wawahi wahi kuchukua ubingwa kabla ligi haijaisha!!!
cc Makoye Matale, nifah, Mkoraj, Bantu lady
Prison na Polis Moro
Khaa siyo prison kumbe? nifah njoo uone update huku
Hakika jana yaliyojiri ktk kufunga pazia ya ligi yanauzunisha sana kwa soka letu, bila kupindisha maneno ktk mechi ya JKT Ruvu na Stand United kuna mambo ya rushwa yatakuwa yanausika kuibeba Stand.
Ushauri wangu kwako rais futa hayo matokeo mechi irudiwe uwanja huru na marefa wapewe adhabu kali
Ntamis masau bwire na maneno yake ya shombo