DOKEZO Malinyi, Morogoro: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa fedha za kujikimu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Katika wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro tulioajiriwa mwezi wa 6, 2023 idara ya afya hatujalipwa pesa yetu kamili ya kujikimu, DMO, katibu wa afya na chashier wa wilaya wamekuwa watu wa kutupiga danadana kila kukicha.

Tunashangaa idara ya elimu walilipwa kikamilifu ila idara ya afya kuna ujanja mwingi. Tunaomba mamlaka husika iingilie hili jambo ili watumishi wa afya tupate stahiki yetu
 
Ngoja kwanza tuichangie taifa star na kuwalipa wahamasishaji +wasanii
Nyie mtalipwa badaye kuweni wapole

Ova
 
Ajira Imekuwa Mateso Tena Yaani Kweli Muhari Umetapakaa Tanzania Nzima
Ajira Huwa Zinapotangazwa Stahiri Za Huyo Mtumishi Zimeshatengwa Kabisa

Sasa Mpaka Leo Hawajalipwa Huku Viongozi Wapo Wanatazama
 
Back
Top Bottom