Malin Hassan Malin wa TBC na safari ya Dodoma, ikifika 2020 utaandaa kipindi tena cha kubaki Dar?

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Huyu jamaa ni mwandishi wazamani lakini kashindwa kutambua kuwa safari ya dodoma haipo kamwe, yeye na kipindi chake cha kila wiki na team nzima ya tbc wanaamini safari ya dodoma ipo.

Je ikifika 2020 Malini hassani Malini utaanda kipindi tena hapo tbc cha kubaki Dar?
 
Tatizo TBC hakuna ubunifu wala maono ya mbele sio kwa Marin Hassan pekee karibu wafanyakazi wote na hasa Ryoba
Bado wana mentality ya Radio Tanzania,wakipewa agenda wao wanaisukuma tuu bila hata kuhoji vitu vya msingi
Fananisha TBC2 na E TV utaona watu wanaofanya kazi hovyo hovyo wakijua mwisho wa mwezi mshahara upo
 
Back
Top Bottom