Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,914
- 831,311
Mana huyu alinaswa akiiba ndizi na baada ya kupigwa sana, alikiri kitendo hicho na kudai watoto wake walikuwa na njaa. Jambo ambalo lilimfanya afanye hivyo.
Umati usio na chembe ya huruma wala tafakuri na wenye kutisha ulimfunga na kumpiga zaidi huku watoto wake wasiojiweza wakilia kwa woga na fadhaa
Kwa nini sisi ni wabaya na wakatili kiasi hiki? Hakuna hata chembe ya huruma. Huu ni upuuzi. Akina mama hupitia mengi kulea mtoto (watoto) tunapaswa kufikiria kabla ya kutenda..!