Maliasili website hacked!

Maliasili website hacked!

Duh! jamaa wa Tueuse Cracker wanatisha aisee! ni bahati mbaya sana website nyingi za serikali ni dhaifu mno kutokana na kutokuwa na wataalamu walio makini na kazi zao, na hii inatokana na ukiritimba wa kupeana ajira kwa kujuana.
 
hyo ndo dawa yao
mpaka wa2ite cc wenye vyet halal co kupeana mashavu
 
Back
Top Bottom