BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Elewa ndugu,gunia moja faida 10000sawa sawa?iyo kazi unafanya faida 10000 kwa mwezi una mdanganya nan? Kwanza uko wapi nije apo saivi? Na iyo ela utatoa tu!
Tunafanya ivo makusudi ili kupunguza matumizi ya mkaa na watu watumie nishati mbadala!
Kama hutaki acha, kauze gas! Nyooooooo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sasa ivi tunataka tupunguze matumizi ya mkaa! Una athari kubwa, kwaiyo ndo maana inafanyika ivo, cha kukushauri tumia njia mbadalaElewa ndugu,gunia moja faida 10000sawa sawa?
Na gunia unauza mpaka wiki 2au tatu sawa sawa?
Sasa he kama kwa mwezi nauza magunia 2 napata 20000 faida, kwa mwaka maana take 20000 *12 sawa na 240000
Hiyo faida
1nile
2nilipe fremu
3nilipe kodi ya nyumba
4nilipe UMEME na maji
5matibabu yanngu na familia
6 maendeleo
Je we we unaweza au unaandika ili watu wakusifie?
Bado maliasili niwalipe 261000 niambie hapo hela natoa wapi?
Usiandike Tu kutaka sifa, watu tunataabika kitaa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hiyo ni hesabu ya gunia moja tu. Kwa mwaka utakuwa umeuza gunia 500 hadi 800.*20000?Elewa ndugu,gunia moja faida 10000sawa sawa?
Na gunia unauza mpaka wiki 2au tatu sawa sawa?
Sasa he kama kwa mwezi nauza magunia 2 napata 20000 faida, kwa mwaka maana take 20000 *12 sawa na 240000
Hiyo faida
1nile
2nilipe fremu
3nilipe kodi ya nyumba
4nilipe UMEME na maji
5matibabu yanngu na familia
6 maendeleo
Je we we unaweza au unaandika ili watu wakusifie?
Bado maliasili niwalipe 261000 niambie hapo hela natoa wapi?
Usiandike Tu kutaka sifa, watu tunataabika kitaa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ivi tunataka tupunguze matumizi ya mkaa! Una athari kubwa, kwaiyo ndo maana inafanyika ivo, cha kukushauri tumia njia mbadala
Matumizi ya gas kwa maeneo ya mijini ni cheap juliko huo mkaa. Ninachokiona watumiaji wengi wa mkaa wanakwepa ile initial cost ya vifaa vya gas (mtungi, jiko na viunganisho vyake) ila gas ni cheap zaidi ya mkaa.Unashauri watu waache mkaa na hivyo kutumia nishati mbadala; ipi hiyo kwa mfano? maana ukija kwenye mafuta ya taa bei haikamatiki tangu uchakachuaji uanze miaka hiyo na hivyo watu kwa sasa wameachana kabisa na majiko ya "mchina" yanayotumia niahati hiyo; ukija kwenye umeme unit moja ni zaidi ya sh. 300! hivyo watumiaji ni wachache sana, ukija kwenye hiyo gesi; mtungi wa kilo 16 bei yake ni zaid ya tsh elfu 50!
Sasa kwa watu wa mjini kama huko Dar es salaam unategemea watatumia nishati gani? Serikali inatakiwa itengeneze mazingira ya watu kutumia hiyo nishati mbadala maana kwa sasa imekaa kianasa anasa hasa kwa wale wananchi wa kipato cha chini na hivyo kimbilio lao pekee kubakia hiyo nishati ya mkaa.
Ilooo lione wakati kwako ndio nishati kuanzia chai,kwendaa kuleNyie watu mnachafua sana hela zetu
Aisee, sijasutwa siku nyingi, very romantic
Asilimia ngapi wanatumia mkaa na wangapi wanatumia gesi/umeme? Per capita income ni ngapi siku hizi kiasi mkaa tununue japo 2000 kwa kimfuko kidogo?iyo kazi unafanya faida 10000 kwa mwezi una mdanganya nan? Kwanza uko wapi nije apo saivi? Na iyo ela utatoa tu!
Tunafanya ivo makusudi ili kupunguza matumizi ya mkaa na watu watumie nishati mbadala!
Kama hutaki acha, kauze gas! Nyooooooo😎😎😎😎
Mkuu gas ni 20000 kujaza iyo 50 ni pamoja na mtungiUnashauri watu waache mkaa na hivyo kutumia nishati mbadala; ipi hiyo kwa mfano? maana ukija kwenye mafuta ya taa bei haikamatiki tangu uchakachuaji uanze miaka hiyo na hivyo watu kwa sasa wameachana kabisa na majiko ya "mchina" yanayotumia niahati hiyo; ukija kwenye umeme unit moja ni zaidi ya sh. 300! hivyo watumiaji ni wachache sana, ukija kwenye hiyo gesi; mtungi wa kilo 16 bei yake ni zaid ya tsh elfu 50!
Sasa kwa watu wa mjini kama huko Dar es salaam unategemea watatumia nishati gani? Serikali inatakiwa itengeneze mazingira ya watu kutumia hiyo nishati mbadala maana kwa sasa imekaa kianasa anasa hasa kwa wale wananchi wa kipato cha chini na hivyo kimbilio lao pekee kubakia hiyo nishati ya mkaa.
Umeongea kitu cha maanaMiti inayotengeneza Mkaa ina thamani kubwa sana kuliko Mkaa wenyewe .
Mkaa upande bei maradufu lakini Gas ishuke bei zaidi. that will value our forests and reduce emissions of Carbon.
Mkuu unashauri nini? Je tutafute njia ili mwananchi maskini aweze ku afford gas,umeme, biogas nk au tuendelee kukata miti yetuAsilimia ngapi wanatumia mkaa na wangapi wanatumia gesi/umeme? Per capita income ni ngapi siku hizi kiasi mkaa tununue japo 2000 kwa kimfuko kidogo?
Gesi na umeme zinarahisisha kazi na usafi, nani hataki unafuu? Mkaa na Kuni biashara kwa mama lishe..Takibir/God bless us