Malia Obama amchungulia baba yake akiwa offisini

Kumbe jamaaa IN-Tray na OUT-TRAY zake hazina kitu kabisa, nadhani kuna baadhi ya Ikulu ukifika OUT-TRAY inakaribia kujaza chumba...sijui ni wapi huko

Mkuu Elli, hiyo noma saana, sasa unamsema jk ?... nimecheka sana mkuu thanks!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe jamaaa IN-Tray na OUT-TRAY zake hazina kitu kabisa, nadhani kuna baadhi ya Ikulu ukifika OUT-TRAY inakaribia kujaza chumba...sijui ni wapi huko

Mkuu unamaanisha pale kwa jamaa mtaa wa tatu au?

Mmmmh, huu uchokozi, siku hizi hadi sms ukituma unatafutwa.....Long live Mpwa wasije wakakugeuza "panya" wa experiment
 

Mzizi Mkavu, picha hii inaweza kuleta taswira nyingi isivyokusudiwa na mleta mada.
Hivi Kikwete huwa ana muda wa kutulia ofisini pale magogoni kama huyu Obama anavyofanya? Kiwete ofisi imehamia angani sijui anapohitaji kuchomoa faili kutoka sehemu ofisini huwa anampigia simu ps wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…