Kaya Nogu Sabho Ndamu
Member
- Sep 4, 2016
- 44
- 28
Jamani niko UFARANSA, hivi hawa jamaa walipata wapi mali zote hizi na kujenga majengo mazuri namna hii. kama wamasai wanavyosema ng'ombe zote duniani zao. Mimi nasema mali zote za ulaya ni zetu.
kingine naona Africa tuungane labda tutaivisha. Tuache roho za mtima nyongo, mmoja mmoja mpaka kitaifa.
Mfano nilimuuliza Dr PhD holder namna gani naweza andika good proposal, eti akaniambia hivi vitu ni siri usicheze na academic, gundua yako usiige.
Roho hii ni mbaya sana hatuwezi kuendelea kama kila mtu anatakiwa kukundua. Niliandika concept note moja nikaituma kwa watu wengi, PhD holder mmoja akaniandikia akasema ficha fikra watu wanaweza kuzitumia na kuonekana wamefanya wao.
Hii nayo ni hatari sana, kama tutakkuwa hivi hakuna maendeleo. Hata akitumia fikra zangu kufanya makubwa si bado nimefaidika mimi, nafsi yake itajua si yeye ila ni mimi and that is very great. Jamani watanzania.
Watu wanajiangalia wao tu. roho hii ni ya kukemea. Fanya kwa ajiri ya watanzania wote, ukifa utakufa kwa furaha