kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Maoni yangu,
Naunga mkono vigogo wote bila kujali nafasi zao wataifishwe mali walizozipata kinyume na taratibu, ikiwemo rushwa na ufisadi ili iwe fundisho kwa wengine.
Na katika hili nina hakika Magufuli hatashindwa kwa kuwa wananchi wengi tunamuunga mkono na tupo naye bega kwa bega na tunaamini atatuvusha tu.
Zoezi hili lisiishie kwa Lowassa liende mpaka kwa viongozi wa upinzani wanaojitajirisha kwa ruzuku.