Mali za Kijerumani

Kuna bibi ana stove 2 mkoani Njombe
 
Tuwasiliane unionyeshe utaratibu wa kufungua ninao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna lolote ni uzushi tu na mara nyingi wanaoanzisha ni watu ambao ni wavivu wa kujituma kimaisha wanahisi kama kuna njia ya mkato ya kupata utajili

Katika miaka ya 90 walikuwa wanatafuta sarafu za kiJerumani zinaitwa rupia kwa madai kuwa ukipata moja kunakitu unafanya inacheua midora mingi watu waliangaika sana sijui ule uzushi ulishia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi bro uhakika bado hauko
Kweli tunaambiwa kuna mali nyingi za thamani kubwa walakin mengi au wengi wao ni wazushi mimi huwa nafatilia sana hz sehemu walakin sijawahi kuona yoyote kati ya hao alifanikiwa. Nadhani ni hadithi tu na uhakika bado hauko
mali zipo ishu kuzito
 
Unapajua twende unipeleke kijana
mkuu hizi habari kweli ila wale jamaa wameroga sana,unaweza ukafuatilia ukikaribia kufanikiwa unaghairi kumaliizia kazi au mkagombana wenyewe kwa wenyewe ,wamepumbaza sana ila amin tu wazungu wachawi sana.
 

Wengi walikuwa wanatumia biblical signs kama wahispania na wagiriki
Wajerumani wametumia ishara za compass

Inataka akili kubwa kuelewa Mali zilipohifadhiwa
Zipo sehemu nyingi duniani na moja iliyonishangaza sana ni wale wapambanaji walioenda kutafuta mali huko kwenye kisiwa cha majoka Ilha da Queimada Grande huko Brazil
Kisiwa ambacho nyoka wamejaa kiasi ambacho kila hatua unayopiga unaona nyoka aidha chini au juu ya miti
Lakini bado jamaa wakaendelea kutafuta na kufuata ishara zote
Hawakufanikiwa ingawa waliamua kulala hapohapo kisiwani kwenye majoka
Usiku kuna nyoka walikuwa wakianguka toka juu ya miti yaani ilikuwa ni tafrani tupu na yote hiyo ni kutafuta utajiri
 
ha ha ha / some time maisha inabidi kurisk life maana manake unaona bila kufanya ujasiri utateseka mpaka lini?
 
Hao Waisrael waliongia nchini wamekuja kuvuna hizi mali.
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
 
VP rupia na baadhi ya kufuli za na shilling za zaman nazo zinadili?
Baba alipofariki nilikuta limkebe kubwa amehifadhi mazaga hayo
Baada ya msiba kuisha nikaona vijana wanakuja kuulizia
Bro izo kufuli za kwenye mkebe zikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…