- Thread starter
- #21
HahahahahahahMkuu utapotea aise___Isijekuwa mabomu yalifukiwa ukadhani pesa au almasi
HahahahahahahMkuu utapotea aise___Isijekuwa mabomu yalifukiwa ukadhani pesa au almasi
Wap hukoSisi huku zimefukuliwa sii Mali ya mjerumani ni Mali yetu wenyewe ila Mkulu anasema ni Germany kaweka bicon za 1905 ni za relwe au mjeruman wajuzi nijuzeni hapo ni ktk sheria IPI yetu au German?
Nikibahatika kufumania site ya mjerumani, nitashusha bonge la maombi nadhani hata uchimbaji utakuwa mwepesi!Ukitaka kufa kifo cha majini jaribu kuchimba