HABARI WANA JAMII,Julias Malema aliye kuwa kiongozi wa vijana wa chama tawala South Africa mali zake nyingi pamoja na jumba la kifahari vina pigwa mnada kwa sababu ya yeye kushindwa kulipa kodi (alikwepa kodi).
Je kuna uwezekano wa kutofautisha pesa na siasa! wanasiasa wengi ni matajili na wana piga kelele za kutetea masikini,naomba uchambuzi wa kutenganisha siasa na pesa.KARIBU.​