Kwani mkuu wakati unaanza kulima pilipili zako hukuwahi kuwaza kuwa siu zikikomaa utapeleka kwa mteja gani na bei ipi utayouzia.?
Nakuona kama unatapatapa na mzigo wako mwenyewe hujui uupeleke wapi.
Pole sana mkuu..jifunze ujasiriamali wa kisomi na sio huo wa kukurupuka bila kujua njia.