MALI MPYA MALI MPYA IKO SHAMBANI

sunchez

Member
Jan 16, 2017
69
23
866971efa4dd42b143c0ff07166efc97.jpg
 
Kwani mkuu wakati unaanza kulima pilipili zako hukuwahi kuwaza kuwa siu zikikomaa utapeleka kwa mteja gani na bei ipi utayouzia.?
Nakuona kama unatapatapa na mzigo wako mwenyewe hujui uupeleke wapi.
Pole sana mkuu..jifunze ujasiriamali wa kisomi na sio huo wa kukurupuka bila kujua njia.
 
Unapatikana wapi? Embu chek na madalali wa pale Ilala sokoni. Wanaweza kukusaidia. Pilipili huwa zinatoka kwa bei nzuri sana sokoni kama umefanya timing. Nitafte kwa +255656106906 nikuunganishe kwa dalali. Alinisaidia wakati nauza bamia zangu
 
Mkuu Ahsante sana nilifuata ushauri wako na nimepata dalali wa ilala kesho tutaanza kazi mungu akipenda mzigo ndio huo tulikuwa tuna vuna.
 
Mkuu Ahsante sana nilifuata ushauri wako na nimepata dalali wa ilala kesho tutaanza kazi mungu akipenda mzigo ndio huo tulikuwa tuna vuna.
Hongera sana kiongozi, pilipili yako iko vizuri sana. Wish u all the best, Hope utapiga pesa nzuri tu, Pipili mbuzi sokoni huwa hazichukui time!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom