Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hua napatwa hasira na malezi ya watoto wa maboss ivi inakuwaje mtoto ataki kula chakula mpaka simu ndio ale chakula
Naona nitakuja kupasua mtoto wa mtu kichwa mtoto anajiliza mda wote bila sababu aki amua kulia mpaka mzazi kichwa kinawaka moto nitakuja kupiga vibaya nime amua niondoke tu kwa rafiki yangu mapema tu mtoto analia kama kengele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Junia
Bora umeondoka
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]yaani nimecheka...mkuu unamtoto???
Sanaaa,hiko kitu nakiona Sanaa basi tu sio wananguKuna watoto wa tia hasira sana
Ndio ila ana miez minne
muache junior wetu, junior bila simu hali, mpe simu anyamazeHua napatwa hasira na malezi ya watoto wa maboss ivi inakuwaje mtoto ataki kula chakula mpaka simu ndio ale chakula
Naona nitakuja kupasua mtoto wa mtu kichwa mtoto anajiliza mda wote bila sababu aki amua kulia mpaka mzazi kichwa kinawaka moto nitakuja kupiga vibaya nime amua niondoke tu kwa rafiki yangu mapema tu mtoto analia kama kengele
Mbona alikustahi sana hapo,wengine unakuta anakurukia,anavuta nywele zako,anataka simu yako anakukera mpaka unasikia kijasho chembamba kinakutoka kwa hasira.Halafu Wazazi wake utasikia wanasema "huyu ni mtukutu sana" huku wanacheka [emoji35][emoji35]Nilitamani nimvute pembeni nimvute mashavu na kofi juu akalale usingiz watu tuna maongez muhimu yeye analia tu
Utasikia "wee junior stop it" hapo Mama anasema huku anacheka.Nimemuelewa mleta mada,unatamani umfinye kimya kimya aende akalie huko na u junia wake [emoji3]Tena kama hivi vidude vinavyoitwa Junia ndio huwa vipumbavu sana
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukimpatia simu anakuwa anaipigiza chini kisa haoni cartoon anayoipenda.muache junior wetu, junior bila simu hali, mpe simu anyamaze
Kanaweza kuja kuchezea mpira palepale sebuleni halafu kanakubamiza mashuti ya uso huku kanacheka, wakati mwingine kanakuuliza leo unakula kwetu au unaenda kula kwenu, kwanza kwenu mnakulaga pilau na nyama ya kukuUtasikia "wee junior stop it" hapo Mama anasema huku anacheka.Nimemuelewa mleta mada,unatamani umfinye kimya kimya aende akalie huko na u junia wake [emoji3]
Na Wazazi unakuta wanacheka tu,aisee malezi ya ajabu sanaKanaweza kuja kuchezea mpira palepale sebuleni halafu kanakubamiza mashuti ya uso huku kanacheka, wakati mwingine kanakuuliza leo unakula kwetu au unaenda kula kwenu, kwanza kwenu mnakulaga pilau na nyama ya kuku