Sema Tanzania
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 251
- 465
Kabat langu ... Halina vtu now ... Swalehe ... Kapasua kila kitu ... Nmetaftia sahan za mbao nazo kavunja .... Msaada tafadhal
Hao wanakumbushia galaxy s2 yangu enzi hizo ilivyofanywa nyundo na bint yangu mwenyewe nasinzia huku nalea nasikia pa!pa!pa! Najua ananyuka vitoi vyake kumbe s2 imekwendakweli kabisa mkuu uku uswahilini mtoto akivunja chupa ya chai anatembezewa kipigo takatifu
hahahaha aliivunja vunjaHao wanakumbushia galaxy s2 yangu enzi hizo ilivyofanywa nyundo na bint yangu mwenyewe nasinzia huku nalea nasikia pa!pa!pa! Najua ananyuka vitoi vyake kumbe s2 imekwenda
Nilivunjiwa meza ya kioo ikiwa na siku mbili tu tangu nimeinunua. Niko chumbani nimejilaza mara nikasikia vioo vinamwagika chini, kutoka nakuta kamjamaa kako na jiwe mkononi
Hahahahha....Kuna jirani siku hiyo ametafuta kweli saa yake ya mkononi, anasema hadi alichelewa kazini.
Jioni alivyorudi kuwauliza watoto wake, yule mdogo akamwambia ameiweka kwenye friza!!
Hata kumchapa kidogo haitasaidia.Mi nadhani ukumchapa kidogo pia atajifunza kuwa kakosea
Yaan kwanza ukikuta kamefanya tukio au uharibifu yaan ile unafika tu kanaanza kukuchekea na kukupokea kwa furaha hata mood ya kukapiga inaisha.Mi nadhani ukumchapa kidogo pia atajifunza kuwa kakosea
Ni kweli huwa wanacheka.Lakn ukimuacha(eti anajifunza)bila kumchapa,atajifunza kuwa yupo sahihi kwa uharibifu wakeYaan kwanza ukikuta kamefanya tukio au uharibifu yaan ile unafika tu kanaanza kukuchekea na kukupokea kwa furaha hata mood ya kukapiga inaisha.
Hapo inategemea na umri wake sasa, kuna wengine unakuta ni mdogo mno ht kuongea hajuiNi kweli huwa wanacheka.Lakn ukimuacha(eti anajifunza)bila kumchapa,atajifunza kuwa yupo sahihi kwa uharibifu wake
Mm ningebadlshana na portello katon kwa hako katotoNilivunjiwa meza ya kioo ikiwa na siku mbili tu tangu nimeinunua. Niko chumbani nimejilaza mara nikasikia vioo vinamwagika chini, kutoka nakuta kamjamaa kako na jiwe mkononi