Malezi kwa mtoto wa kiume! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malezi kwa mtoto wa kiume!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaunga, Apr 12, 2011.

 1. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Wana JF-MMU!

  Nitafurahi kama nitapata ushauri wa malezi ya mtoto wa kiume mwenye miaka 10.

  Mimi ni single mama wa huyo kijana.
  Swala ni kuhusu elimu ya mtoto huyo, ni kijana mwenye akili sana (najua kila mzazi mtoto wake ana akili) na anatarajia kumaliza elimu ya msingi mwezi July mwaka huu.

  Sasa swali langu ni, je aendelee na shule ya upili mwezi Sept mwaka huu akiwa na miaka 10 na miezi 8? Au nimrudishe nyuma kidogo. Dilema yangu ni kwamba, katika umri huo ni vizuri kuendelea na masomo ya sekondari au namkuza kabla ya umri?

  Maendeleo yake ya shule ni mazuri anakuwa among the top 5 darasani kati la watoto 20-22, na ndoto yake ni kuwa engineer. Nikimrudisha nyuma mwaka mmoja itaniathiri financially kwani kipato changu si kikubwa sana (gharama ya mwaka ni kama 4.5m), na pia nina watoto wa ndugu zangu wengine wanahitaji msaada wangu.

  So kufupisha story; ni madhara gani mtoto wa umri huo akienda sekondari?
  Naamini kuna wataalamu wengi humu ndani waweza nisaidia!
   
 2. A

  Aine JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mh! kwa kweli umri wake bado mdogo sana, mimi nadhani inategemea na shule ailiyosoma na malezi aliyoyapata huko yana maadili gani na atakayosoma, hata hivyo ili umpeleke kidato cha kwanza wewe ndiye mwalim wa kwanza, kwani utamuona tu kama anafaa kupelekwa kidato cha kwanza au umrudishe hata kama ana uwezo kiakili. Mpime mwenyewe kwanza kama anaweza kuendana na watoto wakubwa wa level hiyo au ana utoto fulani. Vile vile kama unaamua kumpeleka shule, muombee sana sana na mpe msingi wa neno kabla hajaaza shule ili angalau ajue kumuomba Mungu hata anapopatwa na magumu ajue msaada wake mkubwa ni Mungu
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
   
Loading...