mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 288
- 473
Hapa mkuu najiweza sana kwenye hii faniNakuombea kila lililo jema kwako na familia yako ufike unapohitajia.
WEka na baadhi ya kazi zako tuone, isije tukawa tunamuunga mkono fundi maiko
Mkuu nakiri nilikua fundi wa namna hiyo ila nikajifikiria sana maana tamaa ya kitu kidogo unakosa kikubwa ndio njia wanaotumia baadhi ya mafundi ila nikaamua nipite njia sahihi pia nikazingatia UAMINIFU NI MTAJI toka nimechagua njia hii naona mafanikio hadi furaha.Mafundi mtatuibia sana mifuko ya cement na vifaa vya ujenzi kwa ujumla,mnaturudisha sana nyuma,kweli msingi wa nyumba ya vyumba viwili ndio milioni 5 iishe kweli [emoji276][emoji276]!!,hata sikuombea sana mema
Maadhi ya majengo ya serikali View attachment 2601362View attachment 2601363View attachment 2601365View attachment 2601364View attachment 2601366View attachment 2601367View attachment 2601368Nakuombea kila lililo jema kwako na familia yako ufike unapohitajia.
WEka na baadhi ya kazi zako tuone, isije tukawa tunamuunga mkono fundi maiko
Kazi nzuri mkuuMaadhi ya majengo ya serikali View attachment 2601362View attachment 2601363View attachment 2601365View attachment 2601364View attachment 2601366View attachment 2601367View attachment 2601368View attachment 2601370View attachment 2601369
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app