Malengo ya maendeleo ya Milleneum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malengo ya maendeleo ya Milleneum

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kanyafu Nkanwa, Sep 20, 2010.

 1. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tanzania imepewa TUZO kwa kuweza kufanya vema kuhusu kuandikisha watoto kwenda shule ya Msingi. Hii ni moja ya mambo muhimu sana kwa maendeleo ya Tanzania. Serikali imefanikiwa sana kwa hili. Tafadhali mpatieni habari hii Slaa ili awaeleze wananchi haya mafanikio ambayo Dunia nzima imeyakubali.
  Kidumu chama cha Mapinduzi.
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  You would have been fair kama ungeeleza ni kwa percent ngapi tumefanikiwa in all the MDG's, see them below.

  Millennium Development Goals

  • Eradicate extreme poverty and hunger
  • Achieve universal primary education
  • Promote gender equality and empower women
  • Reduce child mortality
  • Improve maternal health
  • Combat HIV/Aids, malaria and other diseases
  • Ensure environmental sustainability
  • Develop a Global Partnership
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,858
  Likes Received: 11,977
  Trophy Points: 280
  Kweli tanzania kinara wa mileniamu anayetoa cheti angekuja kukitolea kwenye shule hii.

  [​IMG]
   
 4. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nymbala vyote hivi vinakuja vyenyewe once kila mmoja akiwa na shule ya kutosha. Shule kwanza kwa kila kitu. Hivi vitu unaelewa wazi.
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Someni Business Week magazine la wiki jana lililotolewa ndani ya Gazeti la Citizen Jumatano wiki iliyopita. Assessment iliyomo inasema katika nchi 5 za Afrika Mashariki Tanzania ni the last but one katika ufanikishaji wa MDGs. Imeipita Burundi peke yake. Sasa hiyo tuzo inatoka wapi. Hizi ni ghiliba za wale wanaofaidi raslimali zetu. Wanatupaka mafuta kwa mgogo wa chupa (taking us for a ride).
   
 6. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani watoa vyeti wangeangalia ubora wa elimu unaotolewa na si idadi ya msukumo wa kuandikisha watoto kwenda kujoin shule, na pia wangeangalia je hao watoto hata darasa la tatu wanafika?
   
Loading...