Elimu Bora ndiyo ipi? Kwa namna moja ama nyingine utakua unamaanisha zile elimu za watoto wanao ongea ki-English siyo? Naamini hivyo na pole sanaKwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora.
Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao msingi.
Unakuta mstaafu ana watoto watu wazima na familia zao ila bado yeye anaendelea kuzaa tu.
Ushauri zaa kiasi upate muda na fedha za wewe kujinafasi na mkeo.
Sawa baba wananeUko pale pale watu hamsomi maandiko.. hii dunia bado inahitaji watu Mwl pata muda upitie Genesis 1 :22. Nawahisi na kuwahimiza tuishi kwa maandiko
😂😂😂😂"Emu liangalie linatumbua mimacho tu kuwachungulia wakubwa, toto gani lina tabia chafu hivi"..
Kumbe shida sio mtoto ila uamuzi wako wa kuzaa watoto watatu katika maisha ya chumba kimoja . Mkianza purukushani za usiku watoto wanashtuka
Huo ndio ukweli, mjini kuwa na watoto wengi ni anasaNdugu elewa kwamba jamii zetu nyingi zimetokea Mashambani kwa wakulima na wafungaji hivyo ili uwe na mali hauna budi ujikite kwenye kilimo sana na ufungaji kipindi msimu wa kilimo ukifika hivyo unaitaji nguvu kazi ya kulima na kuchunga mifugo
Hapo ndio dhana ya kuzaa watoto wengi ilikuja ili wazazi wapate vijana wa kuchunga ng'ombe na kufanya kazi za mashambani kwa gharama ndogo sana
Tujiulize wewe upo mjini unazaa watoto wengi wanakupa faida ipi mjini hakuna mashamba hakuna mapori yakuchungia
Kijijini mtoto wa miaka kumi na mbili ana tija kwenye familia ila mjini ni mzigo kwenye familia maana atachunga mifugo, au kufanya kazi za mashambani kama parizi nk
pole sana wewe endelea kulala, mwanao wa elimu ya msingi hii ya sogea tukae unathubutu kulinganisha na elimu ya mtoto anaelipiwa zaidi ya milioni tatu kwa mwaka!!Elimu Bora ndiyo ipi? Kwa namna moja ama nyingine utakua unamaanisha zile elimu za watoto wanao ongea ki-English siyo? Naamini hivyo na pole sana
Daaa mm nina watoto 2 and nlitaman hata 10 inanikosesha furaha sana.Kwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora.
Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao msingi.
Unakuta mstaafu ana watoto watu wazima na familia zao ila bado yeye anaendelea kuzaa tu.
Ushauri zaa kiasi upate muda na fedha za wewe kujinafasi na mkeo.
Ninafanya kazi ofc kubwa sana hapa nchini, na wote wenye akili mingi ndani yake wanao leta matokeo makubwa ni walio soma Kayumba, na wenye mbwembwe na wanaiba kila siku na kufukuzwa ni hao unao watengeneza na wewe nyumbani kwako ambao huku ofisini hawana uwezo wowote wa kazi zaidi ya kunyoosha ki English kwenye hamna, kaa kwenye ujinga, watoto wakuozee ndani na njepole sana wewe endelea kulala, mwanao wa elimu ya msingi hii ya sogea tukae unathubutu kulinganisha na elimu ya mtoto anaelipiwa zaidi ya milioni tatu kwa mwaka!!
Ukweli ni kwamba hakuna mzazi asiyependa mtoto wake asipate elimu hiyo unayoita ki- English!!
Mchawi hapa ni umasikini tu[emoji2]
Njoo nikuzalishe japo wawili Evelyn SaltHizi shule za mkoloni zinachelewesha sana, ilitakiwa niwe na watoto nane hadi sahii
Kwakua mie incubator???Njoo nikuzalishe japo wawili Evelyn Salt
NakaziaNdugu elewa kwamba jamii zetu nyingi zimetokea Mashambani kwa wakulima na wafungaji hivyo ili uwe na mali hauna budi ujikite kwenye kilimo sana na ufungaji kipindi msimu wa kilimo ukifika hivyo unaitaji nguvu kazi ya kulima na kuchunga mifugo
Hapo ndio dhana ya kuzaa watoto wengi ilikuja ili wazazi wapate vijana wa kuchunga ng'ombe na kufanya kazi za mashambani kwa gharama ndogo sana
Tujiulize wewe upo mjini unazaa watoto wengi wanakupa faida ipi mjini hakuna mashamba hakuna mapori yakuchungia
Kijijini mtoto wa miaka kumi na mbili ana tija kwenye familia ila mjini ni mzigo kwenye familia maana atachunga mifugo, au kufanya kazi za mashambani kama parizi nk
Kuna mzee mwenzangu kafariki mwezi uliopita kaacha watoto 56 kwa kina mama 7kama si watoto 30 basi mimi nisingekuwepo.
Wanawake wanne Jumla, baba alikuwa ni jembe kwa kweli