Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 548
- 559
Mwaka huu ulikuwa na malengo gani mwenzetu?yametimia?Wanajamii Forums heshima kwenu... Mwaka huu 2017 unaelekea ukingo, Tunamshukuru Mungu mpaka leo hii tupo salama, je kwa mwaka ujao una malengo gani umejiwekea yan kwa Mwaka 2018 Mungu akiendelea kukupa afya njema... Binafsi kwa mwaka ujao nina lengo kuu moja tu nalo ni kununua kiwanja popote pale hapa Dsm ila nahisi Chanika ndio itapendeza zaidi.. Je wewe mwenzangu? Tiririka hapa....
Mkuu ya mwaka huu yametimia nashukuru Mungu, ukiweka malengo unapata ari ya kupambana kufanikishaUkiandika malengo hapa kama hayatatimia vile!!!! Mleta mada buana subiri mwakani kipindi kama hichi ndio uje useme malengo uliyoweka 2017/2018 kama yametimia
Yametimia kwa zaidi ya 76% mkuu...Mwaka huu ulikuwa na malengo gani mwenzetu?yametimia?
Hongera,kwangu bila bila hadi sasa,wacha tuone siku zilizobakiYametimia kwa zaidi ya 76% mkuu...
Komaa mzee unaweza kufunga goli la ushindi dakika za nyongezaHongera,kwangu bila bila hadi sasa,wacha tuone siku zilizobaki
Sidhani,labda nihamie zimbabweKomaa mzee unaweza kufunga goli la ushindi dakika za nyongeza
Basi mwaka huu maliza na bata la nguvu then nwaka ujao Mungu akipenda unaanza na nguvu mpya, ari mpyaSidhani,labda nihamie zimbabwe
Braza unajilipua.... Nzuri hiyoMwakani lengo la kwanza ni kuoa.Mungu mkubwa malengo ya mwaka huu yametimia kwa 85%
Tuombe MunguBasi mwaka huu maliza na bata la nguvu then nwaka ujao Mungu akipenda unaanza na nguvu mpya, ari mpya