Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Dec 5, 2011 #1 Malecela na Lowasa watembelea banda la ofisi ya waziri mkuu katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru..pamoja sana
Malecela na Lowasa watembelea banda la ofisi ya waziri mkuu katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru..pamoja sana
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,184 Dec 5, 2011 #2 Heehee! Kamanda wa vijana umri umekwenda!!
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Dec 5, 2011 #3 mzee lowasa kama inamuuma flani hivi...! anaonekana kusema daaah ingekua ni mimi hapa hawa jamaa wa magamba wamenifanyia kitu mbaya sana hawa..!
mzee lowasa kama inamuuma flani hivi...! anaonekana kusema daaah ingekua ni mimi hapa hawa jamaa wa magamba wamenifanyia kitu mbaya sana hawa..!