Malecela na kamati ya wazee

Malecela na kamati ya wazee

bupepe

Mkuu hii haimzuii kuwemo kwenye kamati ya wazee. Kimaadili ni kwamba wakifikia kujadili jina la mtoto wake basi wanamwomba awapishe, ndo utaratibu.
 
Last edited by a moderator:
kama anaweza kutusaidi kumpata rais
1, mchapa kazi
2 asiyependa makundi na urafiki kazini
3, mkweli
4, asiye na kashifa
5 asiye fisadi
6, mwenye uwezo wake binafsi kuongoza sio kutegemea marafiki,
7, asiya mbaguzi
8, mwadirifu
9, asiyependa visasi
10,anayeheshimu viongozi wake.
basi acha awepo anaweza kusaidi kumpata mtu safi maana anaweza kuvivaa viatu vya nyerere katika kufanya amaamuzi,
 
bupepe

Hilo suala nduagu zako wale warangi ya kijani kijani hawalitambui. Kwani CC wako kina nani? Pinda, Bilal na utitiri mrefu, halafu kati yao si wamechukua fomu za "kutangaza nia"?!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii haimzuii kuwemo kwenye kamati ya wazee. Kimaadili ni kwamba wakifikia kujadili jina la mtoto wake basi wanamwomba awapishe, ndo utaratibu.

Sasa kama majadiliano mengine, kuhusu wagombea wengine, yanaweza kumbufaisha mtoto wake, hapo itakuwaje?

Kimsingi majadiliano yoyote yanaweza kumnufaisha mtoto wake.

Malevela alitakiwa kukataa kuhusiana na vikao hivi, kwa sababu ana conflict if interest.
 
bupepe

ccm wanajua hilo.....!
 
Last edited by a moderator:
kanone umesahau mambo mengine:
11. Asiyetumia 4/5 ya muda wake akiwa nje ya nchi
12. Asiyekimbia matatizo kwa kupanda pipa wakati nchi nyingine rais anakatiza ziara yake na kurudi nyumbani kushughulikia matatizo.
13.Asiyepuuza mambo mazito kwa kutoa hoja/sababu nyepesi.
14. Mwenye nidhamu ya matumizi ya fedha kwa kuheshimu bajeti iliyopitishwa na bunge
15. Asyechagua nani wa kumpa ushauri, anapokea ushauri na kuufanyia kazi bila kuingiza itikadi za kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
Huyu namtegemea sana katika kuelekeza shingo ya edo kibla. Mbona mwenyekiti naye ana mtoto wa baba yake mzee mrisho kikwete naye akatazwe
Taratibu; msimuue mzee wa watu mapema kwa msongo.
 
Kwani si kuna kanuni zinazoongoza vikao vyao ama Malecera ana kanuni zake tofauti na za chama? na navyoelewa maamuzi ya kikao vikao vyote huwa si ya mtu bali huya ni ya wajumbe wote ...kwahiyo tuliza kipira mkuu ili wazee wamnyoe paka manyoya
 
kama anaweza kutusaidi kumpata rais
1, mchapa kazi
2 asiyependa makundi na urafiki kazini
3, mkweli
4, asiye na kashifa
5 asiye fisadi
6, mwenye uwezo wake binafsi kuongoza sio kutegemea marafiki,
7, asiya mbaguzi
8, mwadirifu
9, asiyependa visasi
10,anayeheshimu viongozi wake.
basi acha awepo anaweza kusaidi kumpata mtu safi maana anaweza kuvivaa viatu vya nyerere katika kufanya amaamuzi,

Neno "kama" limeonyesha unahoji, meaning you dont trust him, sasa kwa mzee aliyeishi ccm miaka yote hii na bado tunatanguliza "kama".... then we know we are doomed

Huyu mzee feki na alishindwa hata na kibajaji kule kwao...
 
Sasa kama majadiliano mengine, kuhusu wagombea wengine, yanaweza kumbufaisha mtoto wake, hapo itakuwaje?

Kimsingi majadiliano yoyote yanaweza kumnufaisha mtoto wake.

Malevela alitakiwa kukataa kuhusiana na vikao hivi, kwa sababu ana conflict if interest.

malecela aliwahi kuita press conference ya kushambulia uwepo wa Team Lowasa na umwagaji wa pesa kwa madereva bodaboda na t.shirt za team lowasa.
malecela anajua mtoto wake hawezi kupita kweny CC, yeye yuko hapo maalumu kuhakikisha Lowasa anakatwa jina mapema mno.
 
kama anaweza kutusaidi kumpata rais
1, mchapa kazi
2 asiyependa makundi na urafiki kazini
3, mkweli
4, asiye na kashifa
5 asiye fisadi
6, mwenye uwezo wake binafsi kuongoza sio kutegemea marafiki,
7, asiya mbaguzi
8, mwadirifu
9, asiyependa visasi
10,anayeheshimu viongozi wake.
basi acha awepo anaweza kusaidi kumpata mtu safi maana anaweza kuvivaa viatu vya nyerere katika kufanya amaamuzi,
Mkuu ukisema hivyo, Safari Ya Matumaini inageuka kuwa Safari Ya Maombolezo
 
Sasa kama majadiliano mengine, kuhusu wagombea wengine, yanaweza kumbufaisha mtoto wake, hapo itakuwaje?

Kimsingi majadiliano yoyote yanaweza kumnufaisha mtoto wake.

Malevela alitakiwa kukataa kuhusiana na vikao hivi, kwa sababu ana conflict if interest.

Mkuu kwa akili ndogo tu huhitaji kuumiza kichwa kuwa mtoto wa Malechela hawezi kupitishwa kwa namna yoyote ile, jamaa si wajinga kiasi hicho. Yuko pale kuongeza pesa za chama tu basi. Kwahiyo acha mzee awemo ili aongeze nguvu ya kumwondoa mapema fisadi Lowasa.
 
wadau inakuaje malecela anaingia kwenye kikao cha wazee wakati tayar kuna Conflict of interest kwan binti yake yupo kwenye mchuano
naomben mnisaidie kwa hili

malecela atalipa kisasi kwa mako ..maana nyerere alimzuia asigombee urais..baada ya kubadli din il anufaike na misaada ya waarabu km afanyavyo membe
 
bupepe

huyu mzee hafai kabisa! je? ataweza kumkengeuka mwanaye???????
ccm hapo ndio inaonyesha UHOVYO WAKE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
STUPIDITY!!! WAMTOE NJEEEEE, HARAKA!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom