Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
huyu mzee Alisha badili dini na kuwa mwislam akihaidiwa maburungutu ya dollar is Hopeless man!!!
Mkuu kwa akili ndogo tu huhitaji kuumiza kichwa kuwa mtoto wa Malechela hawezi kupitishwa kwa namna yoyote ile, jamaa si wajinga kiasi hicho. Yuko pale kuongeza pesa za chama tu basi. Kwahiyo acha mzee awemo ili aongeze nguvu ya kumwondoa mapema fisadi Lowasa.
Hii kamati ina uwezo wa kukata jina lolote?
Mkuu kwa akili ndogo tu huhitaji kuumiza kichwa kuwa mtoto wa Malechela hawezi kupitishwa kwa namna yoyote ile, jamaa si wajinga kiasi hicho. Yuko pale kuongeza pesa za chama tu basi. Kwahiyo acha mzee awemo ili aongeze nguvu ya kumwondoa mapema fisadi Lowasa.
Mtoto wa Malecela kupitishwa au kutopitishwa si issue.
Issue ni Malecela kuwa katika vikao hivyo wakati ana conflict of interest.
Matokeo ni muhimu, process inayotoa matokeo ni muhimu pia.
Umeelewa?