KLHN Wire
Alipoulizwa kuhusu mipango yake ya kisiasa ya baadaye na hasa kama ataingia tena katika kinyang'anyiro cha kugombea Urais Mzee Malecela alisema kuwa imekuwa ni utamaduni ndani ya CCM kwa Rais aliyeko madarakani kuachwa kukamilisha vipindi viwili vinavyoruhusiwa kikatiba na hivyo mpango huo kwake kwa mwakani haupo. Hata hivyo alionesha kuwa ana mpango wa kuendelea kulitetea jimbo lake la Mtera ambalo ameliongoza kwa karibu miaka 40 sasa.
Hata hivyo alionesha kuwa ana mpango wa kuendelea kulitetea jimbo lake la Mtera ambalo ameliongoza kwa karibu miaka 40 sasa.
Malecela amekuwa mbunge wa Mtera kwa miaka 40?
Ingawa ukilinganisha na vigogo wengi wa CCM, huyu angeweza kuwa na moral authorty (mamlaka ya kimaadili) ya kukemea -- bila kutafuna maneno... Lakini hajafanya hivyo kabisa, amekaa kimya tu kama mtu mwenye woga mkubwa -- utadhani anaogopa naye mdhambi yake ya ufisadi yatakuja kutolewa hadharani...
Kiranga,
Miaka 40 kweli not fair! Lini tutawapa nafasi wengine vijana?
Mtu nakuwa mbunge miaka 40???
taratibu na katiba yetu ina matatizo!
That was a question Mzalendohalisi, not a statement, not even a rhetoric question.
Rekodi za bunge hizi hapa
Chama Cha Mapinduzi-CCM Member of Parliament of Tanzania 1995 2010
Commonwealth Group-South Africa Appointed Member 1985 1986
Chama Cha Mapinduzi - CCM Vice Chairman - Tanzania Mainland 1977 2007
Chama Cha Mapinduzi-CCM Member of Parliament of Tanzania 1975 1985
Miaka 40 inatoka wapi? Wandishi wakikosea vitu kama hivi tutawaamini vipi katika vitu vingine vilivyojificha zaidi? Miaka 40 iliyopita kulikuwa na jimbo la Mtera? Miaka 40 iliyopita ni 1969, Malecela alikuwa mbunge wa Mtera 1969? Muandishi kwa kutofafanua anaonyesha kuwa Malecela amekuwa mbunge wa Mtera kutoka 1969 mpaka leo, hii ni kweli?
NI wakati gani Malecela hakuwa Mbunge kati ya 1969-2009?
Kiranga, ukitaka kusahihisha unasahihisha tu. Kama ulivyofanya hapo juu na kama masahihisho tutayafanya na wala si mbingu kupasuka. Kama huwezi kuwaamini waandishi, hulazimiki kuwaamini. Katika habari kupata facts zisizosahihi inatokea.
Ninachojua Malecela alikuwa Waziri (sina uhakika) kuanzia mwaka 1969. Sasa kama alikuwa anawakilisha jimbo hilo hilo la Mtera ya sasa au la zamani na kwa muda gani ni mambo ambayo yanaweza kutolewa hapa. NI wakati gani Malecela hakuwa Mbunge kati ya 1969-2009?
William...can you please at least tell us for how long the Honourable Malecela has been an MP? I see no conflict of interest there, sir.
Kiranga, ukitaka kusahihisha unasahihisha tu. Kama ulivyofanya hapo juu na kama masahihisho tutayafanya na wala si mbingu kupasuka. Kama huwezi kuwaamini waandishi, hulazimiki kuwaamini. Katika habari kupata facts zisizosahihi inatokea.
Ninachojua Malecela alikuwa Waziri (sina uhakika) kuanzia mwaka 1969. Sasa kama alikuwa anawakilisha jimbo hilo hilo la Mtera ya sasa au la zamani na kwa muda gani ni mambo ambayo yanaweza kutolewa hapa. NI wakati gani Malecela hakuwa Mbunge kati ya 1969-2009?
KLHN Wire
Mbunge wa Mtera Mhe. John S. C Malecela amevunja ukimya wake wa muda mrefu ..................... Amesema kuwa endapo malumbano hayo yataendelea basi ataenda hatua mbele zaidi ya kuzungumza kwenye vikao vya chama akitahadharisha kuwa CCM haitosita kumtimua mtu yeyote ambaye chama kinaona haendani nacho. Alitoa mifano ya huko nyuma jinsi CCM ilivyoshughulikia uasi ndani ya CCM ambapo baadhi ya viongozi wake (wabunge) walichukuliwa hatua.
Akikumbushia maneno ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuwa "upinzani madhubuti utatoka CCM" mzee Malecela aliwahakikishia wananchi kuwa bado CCM kina muda mrefu wa kutawala na hakuna mtu au kikundi ambacho kinaweza kutoka na kusababisha chama hicho kumeguka.
.........................
Kipindi alichopigwa chini ubunge na uwaziri akaenda kuwa mkuu wa mkoa wa iringa, tume ya kina Obasabjo au Adedeji, ilikuwa seven people wanafanya vitu flani siukumbuki alafu akaenda kuwa balozi ndio mwinyi akamchukua toka Uingereza kumpa ubunge wa kuteuliwa na kuwa waziri mkuu.....i hope memory yangu ipo right.