Male salon equipment

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
784
327
Habari wadau,

Nauza vifaa vya salon, hii biashara imenishinda.

Kwa yeyote mwenye uhitaji aje chemba tujadili (PM).

Vyote jumla 3mil.

Vimetumika miezi mitatu tu

BEI KWA KILA KIFAA

1 ALUMINIUM & VIOO 1,500,000
2 VITI 2 @ 200,000 400,000
3 BENCH 1 @ 250,000 200,000
5 MASHINE 3 300,000
6 STABILIZER 50,000
7 GENERATOR 200,000
8 VIFAA VYA SALON 250,000
9 CEILING FAN 80,000
10 RADIO 150,000

03.png

01.jpg

02.jpg
 
mimi niliweza kumanage saloon kwakua sina muda wa kuwabana vinyozi mkuu,nimewapangia dau kila siku wananipa 15,000 na wananipa kila baada ya siku kumi,frem wanalipa wao,mashine nanunua kila baada ya mwaka mmoja,pale mariedo wanauza mashine nzuri kabisa,kitu chochote kikiharibika kabla ya mwaka haujaisha wanatakiwa watengenezea wao,lazma uweke mipango yako ieleweke kabla hujaanza kazi lasivyo itakushinda tu kwakua ni biashara inayohusisha vijana wasiojielewa.
 
Yeah ni kweli mkuu, but it did not work out for me and nliifanya kama majaribio tu ndo mana nkalipia pango la nusu mwaka. Location ya biashara ina impact pia, sikupata sehemu nzuri. Nitajaribu fursa zingine hii kwa sasa hapana
 
Hiko Kigenereta bei gani?[/QUOT

VITU VYA SALON

1 ALUMINIUM & VIOO 1,500,000
2 VITI 2 @ 200,000 400,000
3 BENCH 1 @ 250,000 200,000
5 MASHINE 3 300,000
6 STABILIZER 50,000
7 GENERATOR 200,000
8 VIFAA VYA SALON 250,000
9 CEILING FAN 80,000
10 RADIO 150,000
 
ni kweli katika biasharra hii kheri usimame mwenyewe maana unaweza kulia but si mbaya location matters
 
Back
Top Bottom