Maldives: Heaven on Earth

Maldives: Heaven on Earth

Ngoja nizicgange kisawa sawa likizo ya 2015 nizuke huko laah, kula maisha ndo huku, maana dunia imeumbwa kwa ajili yetu usipo i utilize unakuwa unafanya dhambi kwakweli
 
Ngoja nizicgange kisawa sawa likizo ya 2015 nizuke huko laah, kula maisha ndo huku, maana dunia imeumbwa kwa ajili yetu usipo i utilize unakuwa unafanya dhambi kwakweli

Nakuaminia ndugu yangu.
 
Pombe ni haramu kama ilivyo bangi, coccaine! Umeelewa sasa?

Uliandika kuwa hiyo nchi ina sheria za kiislamu, halafu ukaweka pombe=cocaine=bangi=sigara...

Sasa ina maana kuna rukra ya vichache na vingine kuzuiliwa?

Au pamoja na sheria hizo zilizopo lakini hizo commodities zinaruhusiwa kutumika?
 
Huko hamna upopoo ,ni passion na romantic life.

asakutaa romatiki kwa kwenda mbele, ndani ya mahabat mazito hakika siku 30 za mwakani zitaishia huko.

My Tized pls note hii mwakani twende tukalishane kama kinda anapolishwa na ndege mama kwenye anniversary yetu, huko no phone no mails ni mwendo wa kutembea na vipichu tuu hahahahahaaaaaa

Asakuta unapanga kwenda huko na mahabat wako?
 
Last edited by a moderator:
Kuwa na Uzalendo. Mbona hamuitangazi nchi yenu Tanzania ambayo ni zaidi beaches and marine life; Tanzania imejaliwa kuwa na vitu zaidi ya hivi ambavyo katika utalii vinaitwa "triple S" yaani Sea, Sand and Sun. Tanzania ina Triple S, Wildlife, Ecology, Friendly people Mineral to mention but a few !!! Oh, Poor Tanzania hakuna mtu anajali kukutangaza !!!
 
Back
Top Bottom