Malaysia Kupiga Kura Leo

Malaysia Kupiga Kura Leo

BashiriOnline

Senior Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
127
Reaction score
44
Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa leo hii nchini Malaysia kwa ajili ya uchaguzi wa kwanza katika historia ya taifa hilo kuwepo kwa uwezekano wa mabadiliko ya serikali, kutokana na utawala huo uliyodumu kwa miongo kadhaa ukipambana kuuzuwia upinzani unaotaka kufanya mabadiliko. Vituo vya kupiga kura vimefunguliwa mapema asubuhi baada ya kuhitimishwa kampeni ya vuta nikuvute hapo jana ambapo wapinzani walionesha shaka kwa kuwepo kwa udanganyifu na kukiukwa kwa taratabu kwa serikali ya muungano inayotawala taifa hilo ambayo pia imekanusha kuwa na malengo yeyote ya kufanya wizi wa kura.

Vituo vya kupigia kura vitafungwa saa 11 jioni na kwamba matokeo yanatarajiwa kuanza kutolewa saa chache baada ya kuhitimishwa zoezi hilo
 
utawala uliokuwepo uligandamiza na kuwabagua sana black indian,malaysia kuna ubaguzi mkubwa mpaka uende ndio utajua,sababu wanavyoitangaza na ukienda ni vitu viwili tofaut
 
Serikali iliyopo madarakani imeshinda. Katika hali ya kushangaza, upinzani ulikuwa unaongoza katika uhesabuji kura hadi dakika za mwisho, mara ghafla umeme ukazima (sio jambo la kawaida umeme kukatika Malaysia), na ulipokuja kuwaka, ikagundulika kuwa kulikuwa na bundle ya masanduku ya kura 'yaliyokuwa yasahaulike', na hapo yalipofunguliwa, zaidi ya 99% ya kura zilizokuwemo zilikuwa za kuiunga mkono serikali.
Hapo hapo serikali ikashinda!!!
 
sijawai kuona malaysia umeme ukikatika,hio itakuwa mpango wa kuiba walifanya
 
Back
Top Bottom