ngozimbili
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 1,398
- 1,006
Nimegundua kuwa Wamalawi pia wana hofu sana na vita, just like we are.
Kuna jamaa amesema kuwa tuwapige Malawi lkn tuhakikishe kwetu kunakuwa na minimum loss. Hakuna sababu ya kuwa hatana minimum Loss ya maisha ya watu. Ni nani ambaye akifariki inakuwa ni minimum loss?
Tuache ushabiki kwa vile tunaishi mbali na Z.Nyasa na Mbeya kwa ujumla.
basi wapeni ziwa lote kama mnaogopa vita!