Malawi Wako Serious | Karate

Malawi Wako Serious | Karate

Sijaona Karate yeyote hapo zaidi ya sarakasi, halafu hiyo haiwezi kuwa Karate, labda aina flani hivi ya kung fu, acted by amateurs.
 
Hizo clip ndio clips pekee ndio zimefanya hiyo conclusion .
Hauko serious mkuu.
 
Hakuna hata mmoja hapo anaeweza Judi ama na mimi hata kwa second 30.
Mimi ndani ya dakika moja nachanganya mapigo matatu. TAI CHII,TAI KONDO NA BUJURUU.
 
Nikija na style zangu za Capoera paranaue hachomoki mtu hapo.....yani nikiruka muele then nikazunguka ahmada kisha nikapiga mealua de frente habaki mtu hapo
 
Back
Top Bottom