Malawi President Mutharika is professor of international law

Malawi President Mutharika is professor of international law

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,483
Kumbe rais wa Malawi wa sasa aliyesema "the issue of lake Nyasa is non negotiable with Tz" ni professor aliyebobea ktk sheria za kimataifa.

Waliwaambia wamalawi kuwa Tz inachezea Malawi kwasababu ya uongozi mbaya wa mwanamke na kwamba yeye akiiingia ataiadibisha Tz.

Ameshaingia madarakani sasa tusubiri atuadibishe kama alivyoahidi. Yeye ni mtaalam wa sheria za kimataifa, ni profesa gani wa Tz atashindana naye, na alishafundisha sana hapa university of DSM anatujua vilivyo.
 
kume rais wa malawi wa sasa aliyesema "the issue of lake nyasa is non negotiable with tz" ni professor aliyebobea ktk sheria za kimataifa. waliwaambia wamalawi kuwa tz inachezea malawi kwasababu ya uongozi mbaya wa mwanamke na kwamba yeye akiiingia ataiadibisha tz. ameshaingia madarakani sasa tusubiri atuadibishe kama alivyoahidi. yeye ni mtaalam wa sheria za kimataifa, ni profesa gani wa tz atashindana naye, na alishafundisha sana hapa university of dsm anatujua vilivyo.

-------- huyo hana maana. Alikuwa anatafuta gia ya kuingilia ikulu. Mbona sasa yuko kimya?
 
kiboga tu huyo. Kuwa prof wa sheria si maana yake utashinda kila argument. Tunamsubiri.
 
Mbona maprofesa wa aina hiyo ni wengi tu hapa bongo? Tatizo ni kuwa profesa au mantiki?
 
MUMPE CD AU FLASH YA MAAZIMISHO YA SIKU YA MUUNGANO KISHA AJE ASEME................................:israel::israel::israel::israel::israel:

na yeye akitoa album yake itakuwaje hapo
 
Lile ziwa kinachotakiwa ni common sense na wala si masheria!! kinyume chake ni vita. common sense ikitumika itaondosha shari ya aina yeyote - win-win situation!!
 
Lile ziwa kinachotakiwa ni common sense na wala si masheria!! kinyume chake ni vita. common sense ikitumika itaondosha shari ya aina yeyote - win-win situation!!
Win win situation ndicho walichoshauri wale wasuruhishi wazee wa SADC. Sasa Joyce alikua anajichetua akili kukataa use of common sense!.
 
Kheri yeye prof labda ndo ataelewa kuwa ili ziwa latakiwa tumika bothways.
Afterall tulimhost pale Mlimani for some years.
Zile kauli aliongea tuu kwa ajili ya kupata kura not otherwise
 
ata maghembe naye ni prof so asitutishe na uprof wake
 
Acha hofu huyu afisa usalama wa taifa letu kama alivyo kabila acha hofu akizungua tunamtoboa macho na kumng'oa kucha.
 
Back
Top Bottom