Malawi kupiga marufuku 'kupumua'? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi kupiga marufuku 'kupumua'?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Feb 9, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Malawi kupiga marufuku 'kupumua'?


  [​IMG]Malawi kukataza watu kujamba?


  Mzozo umezuka nchini Malawi kufuatia mapendekezo kutaka kufikishwa bingeni kuhusu kujamba, kuwa ni kosa.
  Waziri wa sheria wa Malawi, George Chaponda amesema muswada huo utakaojadiliwa kuwa sheria ndani ya bunge wiki ijayo, utapiga marufuku kabisa kwa mtu kufanya haja hiyo hadharani. Waziri huyo amekiambia kituo kimoja cha radio nchini humo- kwa maneno yake - "nenda chooni kama unajisikia kujamba".
  Hata hivyo mkuu wa wanasheria nchini Malawi Anthony Karanga amesema kufanya haja hiyo hakufikii kuharibu hali ya hewa kiasi cha kuwa kosa la jinai.
  Mwandishi wa BBC nchini humo anasema wananchi wa Malawi wanajiuliza mapendekeo ya sheria hiyo, iwapo itapitishwa, itatekelezwaje.

  Chanzo: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/02/110204_farting_malawi.shtml?s
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah nimeiona hii, sasa ushahidi utakuwa mgumu endapo mswada utapita

  Mtu akijamba hewa inaisha mda mfupi ila mtu akila mayai ya kuchemsha na njegere huyo akijamba duh nibalaa kama bomu la machozi
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mhm... Hiyo si haki wana JF, kwa mfano, kwa aina za vyakula vya kwetu Rombo, usipojamba tumbo linauma ile kishenzi. Ndo maana mkiwa ndani kifamilia kujamba ni jambo la kawaida kabisa, mama anajamba, baba anajamba, so do kaka na dada na mimi mtoto mdogo wa familia.
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  du kumbe miswada ya Tanzanian type (ya ajabu ajabu) ipo na kwa wenzetu hawa!!wanataka kushindana na nature!!haya bwana yetu masikio,tutawasikia!!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hivi unaweza kujizuia kuj****a .....hata ukweni au kwenye interview inatokea kwa watu......

  katiba yao ni crap
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona signature yako haieleweki? mtume muhamad si hayupo duniani? sasa mbona unatuchanganya.
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kweli bora bongo wasijaribu kuiga huu ujinga
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Ujinga!
   
 9. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hao hawana matatizo,wanajadili kujamba....!
   
 10. b

  binti ashura Senior Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kenge ni kenge tu!. hivi hawana matatizo ya msingi mpaka watu wanalipwa posho kwa kukaa siku nzima wakijadili kuj...a!. sasa yatupasa tufuate maneno ya bikira maria aliyesema tusali, tusali rozari tupate amani!
   
Loading...