Mambo yao yepi mgerasi? Hilo ziwa ni lao na mimi nawatetea. Kwanini sisi tusiwe na kiasi? Tuna Victoria, natron, Tanganyika, manyara na vidimbwi kadhaa vya kutosha. Na tuna fukwe ndefu kutoka karibu na Cabo Delgado hadi Tanga.
Ni ziwa Malawi siyo nyasa nawaunga mkono nchi yenye watoto wakali.
Malawi now my best and favorite country after Tanzania.