Lenders/Development partners have withheld their money until the "cashgate" theft is dealt with acceptably, and an appropriate mechanism is put in place to curb looting in future.
Cameroon na Malkia wana taarifa?MDF Wako kazini ila hali ni mbaya.Vikosi havina hela za kununulia mafuta kuweka kwenye magari yao.Na hawana hela za bajeti za kuendeshea shughuli zao za kila siku kama kununua vipuri n.k
Wazabuni hawajalipwa wengine wamesusa kuendelea kuhudumu zabuni za jeshi.Ni chaos.
Nadhani kuwapa forced leave anaogopa!
MDF Wako kazini ila hali ni mbaya.Vikosi havina hela za kununulia mafuta kuweka kwenye magari yao.Na hawana hela za bajeti za kuendeshea shughuli zao za kila siku kama kununua vipuri n.k
Wazabuni hawajalipwa wengine wamesusa kuendelea kuhudumu zabuni za jeshi.Ni chaos.
Nadhani kuwapa forced leave anaogopa!
data umetoa wapi mkuu..
Kwa askari wa malawi.Ukiwapa bia tu wanatapika kila kitu hela za kulewa hawana.Ukikutana nao hata wewe watandike bia usikie wanavyobwabwaja.Hawasazi kitu.
Cameroon na Malkia wana taarifa?
Huyu bibie Joyce, kashindwa kuendesha nchi. Asulubiwe tu.
Tumeanza kuuza vitalu vya Gesi!Hiyo hela ya kumpatia itatoka wapi?
unajua maana ya kusulubu wewe!!
ebu kaa vizuri nkuoneshe ...
Kwani huyu wetu ameweza, mbona mishahara hapa inatoka tarehe 45??Huyu bibie Joyce, kashindwa kuendesha nchi. Asulubiwe tu.
Wewe umeshasulubiwa inaonesha unajuwa sana maana yake, Si ndio?
Wewe umeshasulubiwa inaonesha unajuwa sana maana yake, Si ndio?