Malawi imetibuka

Malawi imetibuka

hateme

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
7
Reaction score
0
chanzo tbc wananchi wanaandamana kuipinga serekali watu tisa wamefariki majeruhi kibao
ccm stand up!!
 
Miaka 50 baada ya kumng'oa mkoloni mweupe, Africa sasa inatakiwa imng'oe mkoloni mweusi!
 
hata mimi kuna jamaa yangu yupo Lilongwe asubuhi kaniambia malawi wananchi wanaipindua serikali hawaitaki. Yule rais alibuga kwa kukorofishana na Uingereza matokeo yake wakakata misaada yao yote na wakawashawishi marafiki zao na wao wakate sasa maisha yamekuwa ndivyo sivyo
 
Safi saaana malawi Bado Kwetu sasa Kuanza, Na sisi tulianzisheni
 
ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji especially minywele yako inapokuwa mingi halafu michafu na ina mapunye kama tz
 
duh hata siamini ndio yamekuwa hayo, huyo jamaa nilimsikia siku moja anaongea kwa kubeza sana na jeuri zidi ya uingereza
sasa kama alikuwa ajui wazungu wa shule za kufundisha fitina sasa hatasoma kwa matendo pumb....u

kikwete walikuwa wanamtafuta kwenye barabara ya setengeti na hiyo kashituka, sasa hii ya rada inaweza kuwasha moto maana wabunge
wako na maswali kwa nini tanzania hatuchukui hatua zidi ya watuhumiwa wa rada.
count down to melt
 
_54177694_ma.jpg



Malawi anti-Mutharika protests in Mzuzu: 'Eight killed

At least eight people were shot dead during protests in Malawi's northern city of Mzuzu on Wednesday, hospital officials say.
The army has reportedly been deployed in the capital, Lilongwe, as protests resume in neighbouring townships.
A police spokeswoman could only confirm one death but hospital officials said eight people had been killed.
The protesters are angry at price rises and President Bingu wa Mutharika.
He is due to address the nation shortly as a group of civil society groups - which organised the protests - said Malawi was facing its worst political and economic crisis since independence 47 years ago.
The government recently passed an austerity budget, raising taxes to reduce dependence on aid after many donors cut funding.
Donors accuse Malawi of mishandling the economy and failing to uphold human rights.
The protest broke out in several cities but the deaths occurred in Mzuzu, some 300km (185 miles) north of Lilongwe.
"I'm actually in the mortuary identifying the bodies," Rev Maurice Munthali deputy Secretary General of the Church of the Central Africa Presbyterian told the BBC's Raphael Tenthani in Blantyre. "It's very sad."
He said those killed had been shot, which nurses confirmed.
He said that some of those in hospital had not been demonstrating but were caught in crossfire.
He could again hear gunfire on Thursday and there was a heavy presence of security forces on the streets, Rev Munthali said.
Police spokeswoman Norah Chimwala confirmed one death and more than 10 gun-shot injuries.
She could not confirm if the police had caused the death.
MachetesThere have also been reports that the property of a government minister has been attacked by demonstrators in the city.
_54169019_012479821-1.jpg

Some protesters are demanding President Bingu wa Mutharika's resignation

Police fired teargas at demonstrators in Lilongwe and have set up roadblocks to prevent protesters from entering the city centre.
The owner of Malawi's private Capital Radio, Alaudin Osman, told the BBC the authorities had ordered the station to stop live broadcasts because they were allegedly aggravating the situation.
On Tuesday, supporters of President Mutharika's Democratic Progressive Party (DPP), armed with machetes, smashed the vehicles of two private radio stations in the commercial capital, Blantyre.
They roamed the streets of the city, threatening to deal with anyone who took part in the protests, correspondents say.
But thousands of demonstrators took to the streets of Blantyre on Wednesday, despite the threats.
High Court judge Chifundo Kachale granted the injunction that the nationwide protests were illegal in a late night ruling on Tuesday.
Malawi is one of the poorest countries in the world, with an estimated 75% of the population living on less than $1 (60p) a day.
 
Tuanze na dar..make mwanza walishatest zali..

Dar imejaa wajinga kuliko mikoa yote, halafu wanajifanya ndio wasomi kumbe watu wanokaa Dar mijinga tu ikiona Polisi na virungu wanafunga milango. Ngoma utaanza Mikoa sio Dar
 
Mi simo ila siku kikiwaka apa kwetu nazani itakuwa kama ya Tunisia au Misri
 
Dar imejaa wajinga kuliko mikoa yote, halafu wanajifanya ndio wasomi kumbe watu wanokaa Dar mijinga tu ikiona Polisi na virungu wanafunga milango. Ngoma utaanza Mikoa sio Dar
Nakuunga mkono. Nilishangazwa na jinsi Dar ilivyoipigia CCM kura. Imeshindwa hata na Kigoma ambayo 80% ya wabunge wake ni wapinzani. Na ndiyo inayopata maendeleo kwa kasi kushinda mikoa yote hivi sasa.
 
Nakuunga mkono. Nilishangazwa na jinsi Dar ilivyoipigia CCM kura. Imeshindwa hata na Kigoma ambayo 80% ya wabunge wake ni wapinzani. Na ndiyo inayopata maendeleo kwa kasi kushinda mikoa yote hivi sasa.

Wakazi wa Dar ni Wanafiki na wala tusiwategeme kwa Nguvu ya Umma, Mafisadi wote wanakimbilia Dar wakijua watu hawawezi kuwachukulia Hatua yoyote wengi wao wapo kwenye chama Hichi cha Kupigwa na wake zao. https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/156789-kwa-wanaume-wanaochezea-kichapo-kwa-wenza-wao.html Bora ya Wake zao wanaweza kuanzisha Nguvu ya Umma sio wanaume. Na wengi wao wapo Humu JF kazi kulalamika tu
 
Up to 10 people have been killed in clashes between Malawian protesters and police during a wave of riots against President Bingu wa Mutharka, health officials and relatives say.

Henry Chimbali, a health ministry official, told the Zodiak private radio station on Thursday that nine deaths had been confirmed in the northern city of Mzuzu.

Another man died after being shot in Blantyre, the commercial capital, his relatives told the Reuters news agency.

Rioters, protesting against mismanagement of the economy and a shortage of fuel, had ransacked the offices of Mutharika's Democratic Progressive Party (DPP) in Mzuzu on Wednesday, demanding he step down.

Police fired tear gas at the protesters in the capital, Lilongwe, on Thursday, a day after unprecedented nationwide unrest in the southern African nation, according to local radio station MIJ 90.3 FM.
But the situation in Blantyre was said to be returning to normal, with police clearing burning tyres left by protesters in the streets.
The protests were organised by the the Human Rights Consultative Committee, a group of more than 80 rights groups.

A police spokesman in Blantyre said they were still compiling a report on the rioting, which broke out after security forces tried to suppress the protests.
The decision to stop the protests was taken after a group calling itself Concerned Citizens announced a rival march in support of the government.

The authorities warned of "possible disruptions and undesirable incidents" but the protesters had already gathered in Lilongwe's city centre when they were told about the injunction stopping the demonstration.
When police tried to disperse the protesters, they went on the rampage in Ntchesi, said witnesses.

Businesses ransacked

A spokesman for the Human Rights Commission told the AFP news agency that about 400 people had gathered in Lilongwe to protest.
One witness said protesters ransacked two businesses owned by legislators belonging to the ruling Democratic Progress Party (DPP).

"The police were overwhelmed here by the crowd of people, although they finally suppressed the rioting crowd," Mike Chipalasa, a spokesman for the Human Rights Commission, said referring to the violence in Mzuzu.

"The demonstrators were just angry for being not allowed to march by police. They resorted to looting."

The opposition has denounced Mutharika for failing to smooth over a diplomatic row with Britain, after it suspended economic aid to its former colony.

Relations between the two countries were strained in April when a leaked British diplomatic cable accused Mutharika of "becoming ever more autocratic and intolerant of criticism".

Both countries have since withdrawn their ambassadors, while the UK last week suspended around $30.7m of budgetary aid meant for anti-poverty programmes in one of the world's poorest countries.

Mutharika's policies have included a ban on publications deemed "contrary to the public interest".

He has also imposed a requirement for activists seeking to hold protests to make a deposit of about $15,000 with police, intended as a safeguard against rioting and property damage.
 
Dar kamwe hawawezi kuthubutu wanaweza kwa maneno tu wanaogopa police kama nini,
Mwanza walishakufa ganzi ni ubabe ubabe pamoja na A town,hakuna kuburuzwa.
 
Miaka 50 baada ya kumng'oa mkoloni mweupe, Africa sasa inatakiwa imng'oe mkoloni mweusi!

Tuko pamoja ndugu, Huwa sioni maana ya 9-12-1961 zaidi ya mapumziko tu. We need a second independence from these black colonialists. Nilishakula kiapo kuwa sitaenda kwenye sherehe za uhuru mpaka CCM itakapotoka madarakani.
 
Kikwete ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji. UMEKALIA KUTI BOVU and soon TUTALIANZISHA ILE KINOMA NOMA
 
Wana JF,

Kama wananchi wana andamana hawakutaki na ndio hao hao walio kuchagua still wewe unawaua ndio nini sasa si hawakutaki si uondoke uwapishe kiti chao viongozi wengine bwana kur ulikuja omba umevurunda twaandamana kwa amani wewe watua khaaaa, till no 11 people have been killed last update from Aljazeera.com

Hii ndio haya ya rais wetu na majibu lejaleja unategemea watu wakiamka kesho utawaona wabaya kwa majibu hayo tena rais anakubali analijua tatizo la umeme tokea 2006 na alikuwa anangoja nini all that time to solve the problem????? kama sio kuanzisha hisia za watanzania kwenda kusiko takiwa
 
Back
Top Bottom