Malawi: Chama Tawala cha zamani charudi madarakani

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Kwa kifupi sana napenda nitoe Elimu ndogo tu kwa baadhi ya wenye upeo mdogo wa mambo ya international politics, kuhusu matokeo ya uchaguzi nchini Malawi ni kwamba kile chama kilichowahi kuwa madarakani kikawa cha upinzani kimerudishwa madarakani Na wananchi baada ya wananchi kubaini kuwa bora chama tawala cha Zamani kirudi madarakani maana wapinzani wanapopewa nchi mara nyingi huharibu kabisa kama alivyoharibu yule jamaa.

Fikiria kwa mfano chadema ipewe madaraka ambapo hata ruzuku tu imeshindwa kujenga hata choo. Je itawezaje kutumia trillioni za bajeti ya nchi nzima? Hakika ni funzo kubwa kwetu hatupaswi kujaribu kuwapa upinzani nafasi ya kuongoza nchi maana mfano upo hapo Malawi, waliwaamini upinzani wakaharibu nchi, sasa wamalawi wamekirudisha kile chama kilichokuwa madarakani ingwe ya nyuma.

Kidumu cha Tawala[emoji3] [emoji1] [emoji2]
 
Unatakiwa uelimike kwamba serikali ndo hua inatekeleza majukumu ya kuleta maendeleo tatizo huanza pale mtu anaposhindwa kurofautisha majukumu ya chama cha siasa na majukumu ya serikali..maana serikali inaundwa ma waliopo chama tawala na wasiopo chama tawala
 
Mkuu ingawa sijasoma hii hadithi yako,natakukuambia kuwa nchi zote zenye watu wenye akili na wenye uhai hakuna ujinga unaitwa chama tawala,wananchi wanaamua nani awe kiongozi wao.yaani ukishindwa kutimiza majukumu yako ya msingi wananchi wanakupiga chini.Nchi zenye wajinga na maiti wengi Kama hii yetu ujinga wa chama tawala ndo unaabudiwa
 
Sasa si chama tawala za Zamani kimerudishwa!!
 
Mara zote nchi inayobadilisha chama kukaa madarakani ndizo zenye maendeleo angalia Kenya au USA lakini sisi wajima tunaona chama kukaa madarakani ndio fahari mpaka tunajisahau tunaanza kumuabudu kiongozi tukifikiri ni mungu.
 
Unatakiwa uelimike kwamba serikali ndo hua inatekeleza majukumu ya kuleta maendeleo tatizo huanza pale mtu anaposhindwa kurofautisha majukumu ya chama cha siasa na majukumu ya serikali..maana serikali inaundwa ma waliopo chama tawala na wasiopo chama tawala
Nadhani huwezi tenganisha chama tawala na serikali. Sera mbovu serikali mbovu na hapo maendeleo hakuna
 
Umejitahidi kutumia haki ya uhuru wa maoni vema. Ila nimeanzia id, heading na content nikajua kuna mahala unatamani kufika ila umri unakuchanganya
 
Sasa si chama tawala za Zamani kimerudishwa!!
Uko sahihi ni chama tawala cha zamani tangu nchi hiyo ipate uhuru wake mwaka 1964 na kilitawala hadi mwaka 1994 wapinzani walipochukua nchi huku wananchi wakiwategemea kuleta mabadiliko badala yake hali ndiyo ikawa mbaya zaidi, baada ya kuchoshwa na usanii wameamua kukirudisha chama cha zamani cha Malawi Congress Party(MCP) kilichokuwa kikitawala tangia wapate uhuru.
 
Mkuu ingawa sijasoma hii hadithi yako,natakukuambia kuwa nchi zote zenye watu wenye akili na wenye uhai hakuna ujinga unaitwa chama tawala,wananchi wanaamua nani awe kiongozi wao.yaani ukishindwa kutimiza majukumu yako ya msingi wananchi wanakupiga chini.Nchi zenye wajinga na maiti wengi Kama hii yetu ujinga wa chama tawala ndo unaabudiwa
Kweli.
 
Duuuh umempatia kubwa kuliko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaishi kwa mashaka sana mkuu,ishi maisha yako achana na hofu za ajabu ajabu mkuu
 
Back
Top Bottom