Hata kama cc ya ccm ndiyo inaamua lakini kwa jiwe wamejifunza kitu, haitakuja kutokea tena mtu kama jiwe kuingia tena IkuluHaisaidii chochote zaidi ya kupoteza muda wako bure
Hakuna Rais asiye muovu.
Na huna uwezo wa kupanga nani awe Rais.
Magufuli alipendwa baada ya utendaji wake uliotukuka kabla hajawa Rais.
Wewe endelea kupoteza muda wako lakini anayeamua nani awe Rais ni cc ya ccm siyo wewe wala wapiga kura.
Kwani jiwe alikuwa hivyo kabla hajawa Rais? Anaweza kuwekwa yoyote na akabadili tabia kama jiwe.Hata kama cc ya ccm ndiyo inaamua lakini kwa jiwe wamejifunza kitu, haitakuja kutokea tena mtu kama jiwe kuingia tena Ikulu
Lisu naye ni JIWE kwerikweri[emoji23]Nakuhakikishia Jiwe atasemwa vizazi na vizazi ili kosa lililotokea lisije kujorudia tena. Na kila mwenye akili timamu asimamie alisimamie hilo tusije weka tena mtu kama yule
Ila sijawahi kusikia akijiita jiwe au kichaa kama bwana yuleLisu naye ni JIWE kwerikweri[emoji23]
Mimi sina roho mbaya kwake kwani siwezi punguza au kuongeza chochote. Ila kama kusema matendo yake maovu ndiyo kuwa na roho mbaya basi nakubali kuwa na roho mbaya dhidi yake. Je ufisadi wa kugawa nyumba za serikali kwa vimada wake na kile kivuko feki alikuwa ameshakuwa Rais au ndiyo hiyo historia yake iliyotukuka unayoizungumzia?Kwani jiwe alikuwa hivyo kabla hajawa Rais? Anaweza kuwekwa yoyote na akabadili tabia kama jiwe.
Jiwe hakuamka tu na kuwa Rais, ni historia yake iliyotukuka ya miaka ya nyuma ndiyo iliyompa Urais
Usiwe na roho mbaya namna hiyo kwa marehemu
Hakuna mkamilifu hapa chini ya jua
Una roho mbayaMimi sina roho mbaya kwake kwani siwezi punguza au kuongeza chochote. Ila kama kusema matendo yake maovu ndiyo kuwa na roho mbaya basi nakubali kuwa na roho mbaya dhidi yake. Je ufisadi wa kugawa nyumba za serikali kwa vimada wake na kile kivuko feki alikuwa ameshakuwa Rais au ndiyo hiyo historia yake iliyotukuka unayoizungumzia?
Ila sijafikia level za Jiwe. Yule alikiwa zaidi ya shetani. Kila mwenye akili timamu asali kwa imani yake ili taifa lisijepata kuwa na mtu kama yule abadaniUna roho mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chakubanga
Mwambie huyo mmeo aitisha makongamano ya katibaUelewa wako wa haya mambo ni wa chini sana ungekaa kimya ingesaidia kuficha uzuzu wako