Malaria Sugu yuko verrrrrrrrrrrrrry special.

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
57,641
2,000
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa.
Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea.
Jamani MS, tunakupenda sana, na huwa tunasikitika unapogongwa na nyundo ya mods. Badilika kidogo tu nawe utaiona JF ni kama peponi.
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,203
2,000
Ms inaelekea ni maalufu kama ulivyoweka kichwa cha habari!Ninani asiye mtaja MS mimi ninadhani huko aliko mara kwa mara anajing'ata kwani anatajwa kuliko enzi ya G.W.Bush!
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,442
2,000
Mimi unajua mpaka leo sijajua kwa nini watu mnamuandama sana Malaria Sugu. I think he is a cool dude.

Can anyone of you volunteer to explain it to me exactly what it is about him that you don't like?
 
JS

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
2,066
1,250
MS njoo unidekee kwangu...sijawahi kuwa na tatizo na wewe kabisa....mruhusuni MS aje kwa mamaaa JS hapa kudeka mpaka atachoka mwenyewe
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,442
2,000
MS njoo unidekee kwangu...sijawahi kuwa na tatizo na wewe kabisa....mruhusuni MS aje kwa mamaaa JS hapa kudeka mpaka atachoka mwenyewe

Hi JS, wewe pia huna tatizo na Malaria Sugu?
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,775
2,000
Malaria sugu wa ukweli sana. Kati ya wanaume wote humu jf yeye ndio ananikosha.
 
kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,351
1,500
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa.
Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea.
Jamani MS, tunakupenda sana, na huwa tunasikitika unapogongwa na nyundo ya mods. Badilika kidogo tu nawe utaiona JF ni kama peponi.

Kwani we Bujibuji huwa unamuonaea? Vipi bado uko usukumani? Pole once again
 
Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,771
1,195
Malaria sugu, mbona mimi naona mtu poa tu, anaesimamia kile ambacho anakiamini ndio ubinadamu
 
Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,771
1,195
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa.
Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea.
Jamani MS, tunakupenda sana, na huwa tunasikitika unapogongwa na nyundo ya mods. Badilika kidogo tu nawe utaiona JF ni kama peponi.
Wang'wise.. pole sana kwa mitihani uliokupata
 
Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
0
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa.
Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea.
Jamani MS, tunakupenda sana, na huwa tunasikitika unapogongwa na nyundo ya mods. Badilika kidogo tu nawe utaiona JF ni kama peponi.

Kitendo cha malaria sugu kuwashitaki mods kwenye magazeti, je tukitafsiri vipi? Unoko au kusaka umaarufu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom