Malapropism Yawasumbua Jamaa

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Malapropism ni aina ya lugha gongana, pale mtu anaposhindwa kupambanua maana ya maneno mawili yanayofanana na kuyatumia visivyo. Anapofanya hivyo, mara nyingi hisia ya ucheshi huibuka. Soma maelezo yafuatayo ambamo watu kadhaa wamechanganya maana za maneno na kuibua kichekesho!

1.Yule mdada bwana, hatari sana.Kila nikifanya naye mapenzi, anapiga sana makelele na kuvuta nywele zake anapopata organisms

2.Shirika la ndege la Italia linaitwa genitalia!

3. Kwenye mtihani bwana, nilikuwa katikati ya swali la kwanza kati ya maswali manne tuliyotakiwa kujibu na ghafla nilitokwa na jasho na kupata kizunguzungu pale msimamizi alipotangaza kwa sauti kali: Time is up! All penises down!

4.Kuna dada wa kijerumani alikuja kufanya kazi kwenye kampuni yetu.Alikuwa mzuri kweli. Mnene kiasi na wowowo la uhakika.Alipenda sana kupiga stori na mimi. Siku moja akaniambia anataka kunipa pussy. Mie nikamwambia asihangaike
kwani sikuwa na shida ya panya. Alionesha sura ya kufadhaika kisha akaniambia, show me your cock! Nilimwomba tuongozane mpaka kwetu ili nimwoneshe kamradi kangu ka kuku wa kienyeji ambamo kuna majogoo kibao.Alichukia sana na kukataa kata kata kuongozana nami.

Kama una malapropism nyingine weka hapa.

Kupanua ufahamu, hebu google malapropism examples
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom