Hata mimi mwenyewe ndio leo nimeingia jamvini, lakini hamna aliyenikaribisha. Basi mimi na Mlalamikaji ngoja tubishe tena hodi humu jamvini, Hodi, Hodi, hodi.
Hata mimi mwenyewe ndio leo nimeingia jamvini, lakini hamna aliyenikaribisha. Basi mimi na Mlalamikaji ngoja tubishe tena hodi humu jamvini, Hodi, Hodi, hodi.
Mkuu karibu kama mimi ulivyonikaribisha
mie natoka maana dola imekata hapa net cafe
nakusihi tuwapigie kelele hawa jamaa mpaka masikio yazibuke watukaribishe kiheshima zaidi.
Ah nimefurahi kujiunga JF maana nimeisikia sana na sasa nimo ndani